Hiphop verses challenge

Natumia akili ustarabu na subira
Situmii mwili jaziba na hasira
Mapinduzi daima msimamo ka che guavara
Usingizi ndugu yake kifo hua sipendi kulala
Nafata mipango yangu
Sifati mipango ya wengine
Niko focused hata ikibidi vingine nijinyime
Wote tukiwa maskini nani atamsaidie mwenzake
Acheni niwini majungu msinipake
Wanasema nimechange eti so yule wa zamani
Sionekani maskani kwa darubini wala miwani
Lawama kibao utazani mahakamani
Mi nisipohangahika atakae nilisha nani
Wananichekea usoni kisogoni wananisema
Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema
Kisichoniua kitanikomaza kiaskari
Unaponichukia unadhihirisha mi mkali
Sina haja ya kurudia
Fid alishawaambia
Usupa staa mzigo wa mwiba ukiubeba unaumia...

By Langa kwenye ni hayo tu ya Fid q
 
Back
Top Bottom