Hiphop summit iko wapi?

chapaa

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
2,351
203
Kwa kumbukumbu zangu nikiwa kama mwana harakati mshkaji ali toa bonge la anounce kwamba kutakuwa kukifanyika na bonge la bash kila mwaka likienda kwa jina la HIPHOP SUMMIT na muongelea mr.II aka sugu kwa maana naona kimya 2years tangia ilivyofanyika au ndo tuseme mshikaji yuko bize ama ilikuwa njia ya kurudisha jina kwenye chati?.Any one have the ideal with this?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom