HIPHOP IS 'DEAD'!hiphop is OVER!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
2PAC alikufa na muziki wake wa 'kufokafoka',and so did the 'NOTORIOUS B.I.G'.the current hiphop is a JUST A COMMERCIAL-HIPHOP!it has lost its 'original-hiphop test'.ladha ya hiphop naiona kwa THE COMMON,wengine wote wanayumbishwa na soko la muziki la dunia!mara wabane pua mara wafanye hiphop mara ragga,WAMECHANGANYIKIWA!

BONGO!?wapi bwana!wasanii wakubwa wanadiriki kutamka 'HIPHOP BONGO?'bongo hiphop 'ilishafanyiwa matanga'!hiphop aliimba SIR NATURE kwenye allbum yenye wimbo wa 'HILI GAME TOUGH'akimshirikisha T.I.D,baada ya hapo akajihusisha kimapenzi na mwigizaji maarufu-AKALEWA,AKAUZA HIPHOP.(TUKUMBUKE ZAMANI HAPA:david bekham alianza kugombana na ferguson baada ya kuanza upenzi na mwanamuziki posh,pale ndipo bekham aliweka rehani uwezo wake wa soka.from there,bekham alianza kupoteza 'test' yake.na kwakweli man u imechukua vikombe muhimu baada ya bekhs kuondoka).NATURE ALIUZA HIPHOP baada ya kulewa kwa sinta,akatoa album ya mipasho,INANIUMA SANA.

HIPHOP IS DEAD!HIPHOP IS NO MORE!mfano rahisi ni album zinazotoka sasa hivi bongo,au nyimbo zinazopigwa na kuonyeshwa kwenye media,NO HIPHOP!NOT AT ALL.angalia bss,kama wewe ni mwanahiphop 'utadondosha chozi'

NINAKULILIA HIPHOP!NAKULILIA SANA!
JAMANI NANI AIRUDISHE HIPHOP?

WITO WANGU:Wasanii wa HIPHOP MSIYUMBISHWE NA BONGO-FLEVA!
 
Hip Hop is still alive, but sema imeanza kupoteza mwelekeo
 
NINAKULILIA HIPHOP!NAKULILIA SANA!
JAMANI NANI AIRUDISHE HIPHOP?

WITO WANGU:Wasanii wa HIPHOP MSIYUMBISHWE NA BONGO-FLEVA!

Hip hop is till alive at large,

Sema tatizo lako inaonekana wewe mtu wa redio na Tv sana ndiyo maana unaona kama hip-hop is dead, lakini hii kitu bado ipo sana na itakuwepo kwa muda mrefu ujao, jaribu kwenda chini underground kuna cats wanafanya hip hop ile mbaya, tatizo ni kuwa nadhani media ndiyo inaufanya muziki wa hiphop upoteze umaarufu wake, kwa kuwa nyimbo za hip-hop na hiphop cats hawapewi coverage yakutosha na baadhi yao huwa wanabadilika ili wafit na viwango vya media ili kupata exposure then wanajisahau wanabaki huko huko kwenye kubana pua, lakini wabishi bado wapo, Nas, talib kweli, mosdef, common, guru, wu-members, bennie s..to name a few na vile vile bongo kuna cats kama Jo Makini, FiddyQ, Nako soldiers, kikosi cha mizinga, babu sugu, prof, chid benzi Jeremia, Goz Bee..etc...usife moyo achana na redio na tv spend time mtaani vitu vipo tena sana tuu..
 
Hip hop is till alive at large,

, lakini wabishi bado wapo, Nas, talib kweli, mosdef, common, guru, wu-members, bennie s

Jo Makini, FiddyQ, Nako soldiers, kikosi cha mizinga, babu sugu, prof, chid benzi Jeremia, Goz Bee..etc...usife moyo achana na redio na tv spend time mtaani vitu vipo tena sana tuu..

sawa!lakini are these people taking hiphop TO ANOTHER LEVEL?
 
Kwanza kabisa Juma Nature hajawahi kuimba Hip Hop tangu ameanza hadi leo anaimba Rap Katuni ,Kwa hapa Tanzania Hip Hop haikupata wasanii wengi Mr. II,Kwanza Unit,XPlastaz,Hashim ni baadhi ya wasanii waliofanya Hip Hop but wengi walikata tamaa kutokana na kutopata support na wadau(Mapromota,Madj na Radio Presenter) wengi wao waliamua kutafuta ustaarabu mwingine.Wakaja kina Jmoe,Solothang,Mapacha,FidQ,Nako 2 Nako ,Mansu Li,JMakini na wengine kibao nao wamejaribu but still wadau wanabana lakini bado wanaendelea kukomaa .Jamaa wa Xplastaz tangu amefariki Nelly jamaa ndio wamepotea kabisa sijui nini kimewapata
Kitu kingine ni kuwa muziki wa bongo sio wa kutegemea sana ndio maana watu kama kina Solo,Binamu wameamua kwenda shule ili wapate uhakika wa maisha kwanza
 
nyie bana.....tofauti ya hip hop na bongo fleva ni ipi?
 
Mos def has a new album, there is a song where he is collaborating with Slick Rick and Slick raps about the Iraqi war from a very humane perspective, when you hear this type of hip hop you get what is missing in today's mainstream fake thuggerry, my hummer is bigger than your Lear-Jet hip hop.

Mos Def is most thoughtful as he focuses on myriad projects - USATODAY.com

mos-defx.jpg
 
Peleka kwenye jukwaa la Entertainment.

...jamaa 'purposely' wanamwaga upupu kila mahala, thread ya mapenzi inakuwa posted kwenye siasa, thread ya Entertainment inatupwa kwenye jukwaa la michezo..duh!
 
nyie bana.....tofauti ya hip hop na bongo fleva ni ipi?
Bongofleva-Marlow,Ali Kiba,AY,Matonya,Ray C,TMK,Ebbo,Maunda,Feruzi
Hip Hop-Sugu,FidQ,JMakini,Kikosi,Xplastaz,Mansu Li,N2N,Mapacha
 
Hii alisema P. Funky jana eti hip hop is dead.

Yeaah..nilimsikia P pia wakati wanahitimisha mchujo kwa washiriki wa Dar.....alisema....hiyo kitu imekufa kwa kuwa hakupa vipaji kabisa si Dar si mikoani!

BWT....Geoff wewe ni mwana hiphop or just fan of it?
 
1 - Hip Hop haipati support from the media and distributors, just ask Mapacha watakwambia msoto waliopata mpaka wakaamua kusambaza kazi yao wenyewe.

2 - Wanaojua kwamba hip hop ni zaidi ya muziki wachache sana Bongo; hawajui it is a culture, grafit, rhythm,etc. I think people should understand hip hop before saying it is dead. Am not saying it is or it isn't dead.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom