BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,045
- 10,476
Ni kweli ila wengi wamekomaa na akina 2pac na biggie wakati kuna miamba inajua kurap kweli.Nani hapa anamfahamu Freddie Fox a.k.a Bumby Knuckles?? tafuteni nyimbo zake Who Knows Why na MCs Comes & MC's Go halafu mlete mrejesho hapa! Tatizo watu mnadeal sana na main stream artists ambao wanapata back-up kubwa sana ya media bila kuzingatia uwezo wao halisi.