Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,441
Sikupingi bossHujui Muziki
Sikupingi bossHujui Muziki
Kumbe comment zako na mapovu yooote yakutokayo ni juu ya CHOICE zako wewe,yaani kwa binafsi ya matakwa yako na si kwa kilichopo mezani!!!!Basi sawa,yawezekana uko sahihi kwenye huo ulimwengu wako!!Lakini kwa sisi ambao tulikuwepo na tulikuwa na utambuzi tayari kipindi hiko cha kuanzia 80s mpaka sasa tupo....in fact you are way too wrong hata kwa choice hizo za binafsi yako!!Dhahiri hisia zinakutawala na labda huna facts au walau data.RA, hatari sana huyu jamaa..pia Ali influence watu kama akina Jay na Nas. Lakin kwani sio sahihi kwamba mwanafunzi anaweza kujifunza skills za mwalim na kuongezea ujuzi wake kisha akawa bora kuliko huyo mwalim? In my opinion..nas surpassed RA many years ago! Sikatai kwamba he's good JUST NOT MY CHOICE FOR THE GOAT!
Back to your question, mi sijam list kwa sababu haingii kwenye top 5 zangu. Ila kama ningetaja zaidi ya hapo angekua namba sita
Overrated!!!!You sound funny!!!Have you done any research on this matter au your comments are based on feelings?Overrated tu hao licha ni kweli walikuwa ni wakali nakubali ila naona kama wanapata sifa ambazo zinapitiliza
Hapo unasema "credits zote kwake" hauko sahihi.....maana hata Jay Z katajwa kwenye uandishi/composition ya mashahiri na chorous achilia mbali kinanda alichopiga Storch!!!Get your facts/data correct ili kuepusha a mislead.Kama hujui ni vema kupiga kimya.true, kwenye still dre,Dre alifanya drums na mixing tu, lakini credits zote kwake
Financially, uwezo, jina, heshimamkubwa financially au uwezo??
EMINEM, 50, GAME, TI
kuna ngoma zakeEminem atengwe aisee, huyu jamaa ni smartly mnooo
Eminem, 50 cent, T.I
kwenye uwezo hapana,usiseme Dre,sema Dre na team yake,kuna kazi nyingine Dre kafanya mixing tu,then credit zote kwakeFinancially, uwezo, jina, heshima
tuliza wenge wewe mbona unakuwa kama sio shoga? reality ain't always truth, naongea na mashabiki wa Dre hapa bongo,katika track ile imeandikwa Produced by Dre,na sio Dre & Storch na kazi kama hizi ni nyingi,huwezi ukasema Dre ni mkali kwa kazi alizoshirikiana na team ya watu wengi.wengi wanampa Dre sifa za moja kwa moja,hakuna anayesema team ya Dre ina producers wakali,ila kila mtu anasema Dre mkaliHapo unasema "credits zote kwake" hauko sahihi.....maana hata Jay Z katajwa kwenye uandishi/composition ya mashahiri na chorous achilia mbali kinanda alichopiga Storch!!!Get your facts/data correct ili kuepusha a mislead.Kama hujui ni vema kupiga kimya.
Hapo kwenye young forever hata ukinikurupia usiku wa manane nachana verse zakeJay zee ni mtu mbaya sana hasa kwa flow,
mi mwenyewe nilikuwa namchukulia poa tu nikaamua kumsikiliza kwa makini katika Ngoma zake za anything,hard knock life,empire state of mine,forever young
Sasa ulitaka niweke kwa mujibu wa choice zako wewe au? Mim nna'choice zangu kwa mujibu wa vigezo nlivyoona Mimi vinafaa, wewe pia unazo choice zako kwa sababu zako binafsi, jua tuu hii topic ni subjective kwahyo your number 1 anaweza kuwa namba tano kwa mwingne,Kumbe comment zako na mapovu yooote yakutokayo ni juu ya CHOICE zako wewe,yaani kwa binafsi ya matakwa yako na si kwa kilichopo mezani!!!!Basi sawa,yawezekana uko sahihi kwenye huo ulimwengu wako!!Lakini kwa sisi ambao tulikuwepo na tulikuwa na utambuzi tayari kipindi hiko cha kuanzia 80s mpaka sasa tupo....in fact you are way too wrong hata kwa choice hizo za binafsi yako!!Dhahiri hisia zinakutawala na labda huna facts au walau data.
Hio anything hua naisikiliza kila baada ya nusu saaJay zee ni mtu mbaya sana hasa kwa flow,
mi mwenyewe nilikuwa namchukulia poa tu nikaamua kumsikiliza kwa makini katika Ngoma zake za anything,hard knock life,empire state of mine,forever young
Rapper au trapper???Lily wayne "best rapper alive on earth"
Ghetto ambassador?Kuna jamaa aitwa balozi pia solo thang
Known as rap GodEminem atengwe aisee, huyu jamaa ni smartly mnooo