Hip Hop G.O.A.T

RAKIM mbona hatajwi humu ?au wengi mlikuwa hamjazaliwa wakati anachana
RA, hatari sana huyu jamaa..pia Ali influence watu kama akina Jay na Nas. Lakin kwani sio sahihi kwamba mwanafunzi anaweza kujifunza skills za mwalim na kuongezea ujuzi wake kisha akawa bora kuliko huyo mwalim? In my opinion..nas surpassed RA many years ago! Sikatai kwamba he's good JUST NOT MY CHOICE FOR THE GOAT!

Back to your question, mi sijam list kwa sababu haingii kwenye top 5 zangu. Ila kama ningetaja zaidi ya hapo angekua namba sita
 
Dre ni rapper mkuu

Bro Dre aint no rapper!

He is best at producing,thats a fact!

Huwezi kua kwenye game miaka 40 yote umetoa album 2 tu halafu useme wewe rapper!

Thats unacceptable!

Dre hajawahi tunga lyrics anazo rap!

Zote katungiwa na watu yeye ana rap tu!

Dre katika ku rap ni the same as P Diddy,nothing more nothing less!

Wote hao ni garbages!

Sorry to say that sir!
 
Iko hivi bro, Dre na Nas wote ni wakali..sana tena! Ila ni ukweli usiopingika kwamba Dre anajulikana zaidi kwa producing while Nas kwa emceeing.

Na hata iweje, kwa list yoyote ile atakayotoa mtu anaejua game basi lazima Nas awepo kwenye top 3 yake (Rapping)

Ila when comes to Producing huyo Dre anaachwa mbali hata na DJ Premier, Pete Rock na RZA...they are way better producers than Dre.

Kwa mantiki hiyo basi hata kama ikilazimishwa comparison kati ya Nas na Dre Nas wins!

No disrespect kwa Dre,
Nikitaja list yangu ya Hiphop producers wa all time inakua hivi;

5. Kanye west
4. Dre
3. Pete rock
2. RZA
1. DJ premier

Wakati nikitaja list ya emcees hakai hata top 10!!
Bro umekula maharage ya wapi?. Umeharibu andiko lako zima ulivyomuweka DRE no 4, he is undisputed king of hiphop beats of all time like Majani in bongo
 
Bro umekula maharage ya wapi?. Umeharibu andiko lako zima ulivyomuweka DRE no 4, he is undisputed king of hiphop beats of all time like Majani in bongo
Dre ni undisputed?
Hata hivi
Baada ya Ku post hiyo comment yangu nikakumbuka kwamba kuna watu niliwasahau, Madlib na J Dilla ninge edit hao wangekua namba nne na tano huyo Dre wako angekaa sita.
 
Jay zee ni mtu mbaya sana hasa kwa flow,
mi mwenyewe nilikuwa namchukulia poa tu nikaamua kumsikiliza kwa makini katika Ngoma zake za anything,hard knock life,empire state of mine,forever young
 
Mtaongea yoote lakini tupac na big ndo walikuwa kila kitu kwenye hip hop ndo maana baada ya wao kufa hip hop inatia huruma artist waliopo wameshindwa kuirudisha kwenye level iliyokuwepo 1990's
 
Bro umekula maharage ya wapi?. Umeharibu andiko lako zima ulivyomuweka DRE no 4, he is undisputed king of hiphop beats of all time like Majani in bongo
Huyu jamaa kala chakula kilichochacha wote hao hakuna hata mmoja anayempata Dre kamwe
 
Iko hivi bro, Dre na Nas wote ni wakali..sana tena! Ila ni ukweli usiopingika kwamba Dre anajulikana zaidi kwa producing while Nas kwa emceeing.

Na hata iweje, kwa list yoyote ile atakayotoa mtu anaejua game basi lazima Nas awepo kwenye top 3 yake (Rapping)

Ila when comes to Producing huyo Dre anaachwa mbali hata na DJ Premier, Pete Rock na RZA...they are way better producers than Dre.

Kwa mantiki hiyo basi hata kama ikilazimishwa comparison kati ya Nas na Dre Nas wins!

No disrespect kwa Dre,
Nikitaja list yangu ya Hiphop producers wa all time inakua hivi;

5. Kanye west
4. Dre
3. Pete rock
2. RZA
1. DJ premier

Wakati nikitaja list ya emcees hakai hata top 10!!
Punguza kula chakula kilichochacha wote hao hakuna hata mmoja anayempata Dre na pia wewe humjui Dre kwa mtu anayeijua Hip hop Dre mpaka Leo ndo no 1 producer GOAT
 
Mtaongea yoote lakini tupac na big ndo walikuwa kila kitu kwenye hip hop ndo maana baada ya wao kufa hip hop inatia huruma artist waliopo wameshindwa kuirudisha kwenye level iliyokuwepo 1990's
Overrated tu hao licha ni kweli walikuwa ni wakali nakubali ila naona kama wanapata sifa ambazo zinapitiliza
 
Dre ni undisputed?
Hata hivi
Baada ya Ku post hiyo comment yangu nikakumbuka kwamba kuna watu niliwasahau, Madlib na J Dilla ninge edit hao wangekua namba nne na tano huyo Dre wako angekaa sita.
9th wonder,Appolo Brown.Dre kuwa na team ya watu nyuma yake wanaomsaidia katika production hii unaichukuliaje??
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom