Hip hop Facts Thread

List yangu ya wakali Wa hip hop Wa mda wrote
1.tupac
2.Eminem
3.jay z
4.big poppa
5.snoop
6.Scarface
7.nas
8.lil Wayne
9.jay rock
10.50 cent
Yangu top 5 mbele ni..

All time

1. Biggie
2. Nas
3. PAC
4. Em
5. Snoop

Recently

1. K. DOT
2. COLE
3. DRAKE
4. PUSHA T
5. LOGIC

Bongo all time

1. HASHEEM DOGO (retired)
2. CHID BENZ
3. PROF JAY
4. LANGA
5. FID Q

Bongo recently

1. BIG STEREO
2. UNO INCREDIBLE
3. DIZASTA VINA
4. MSODOKI
5. NCHAMA THE BEST/MEX CORTEZ
 
Album bora za hiphop za muda wote.

1. Ilmatic - Nas

2. The Marshall Mathers LP - Eminem

3. All Eyez on Me - Tupac

4. Ready to Die -Notorious B.I.G.

5. The Chronic - Dr. Dre

6. Reasonable Doubt -Jay-Z

7. Straight Outta Compton - N.W.A

8. The Eminem Show - Eminem

9. Get Rich or Die Tryin - 50 Cent

10. Paid in full - Eric B & Rakim

Hii ni according ya research yangu binafsi
This is very fair
 
Album bora 5 bora mbele

1.all eyes on me
2.emeritus
3.get rich or die trying
4.the documentary
5.blue carpet
 
Yangu top 5 mbele ni..

All time

1. Biggie
2. Nas
3. PAC
4. Em
5. Snoop

Recently

1. K. DOT
2. COLE
3. DRAKE
4. PUSHA T
5. LOGIC

Bongo all time

1. HASHEEM DOGO (retired)
2. CHID BENZ
3. PROF JAY
4. LANGA
5. FID Q

Bongo recently

1. BIG STEREO
2. UNO INCREDIBLE
3. DIZASTA VINA
4. MSODOKI
5. NCHAMA THE BEST/MEX CORTEZ
Hapo kweny hip hop recently umemwachaje Niki mbishi aisee
 
Mkuu Jigga hapana kwa nini?Msikilize katika nyimbo za ndani ya album,achana na za promotion.Sikiliza ngoma kama threat na usome mashairi, sikiliza ngoma kama imaginary playa, 20 bag shorty, D'evil, December 14,Success yuko na Nas,Black republican yuko na Nas,Dead president,What More Can I Say.
sijakataa kama hayupo vizuri ila na swali kidogo kati ya jay z na nas yupi ni real hiphop na ni yupi mwenye mashairi bora kuliko wenzake ?..
tuanze na hapo kwanza
 
Tukiachana na masuala ya lifestyle,culture, impact kweny jamii, success na etcetra ambavyo ni hip hop
Tukaanza kuongelea vitu kama punchline metaphor,wordplay,similes flow etc ambavyo ni rap
The best "rapper" to ever live is lil Wayne
But not the best "hip hop" emcee
That's undebatable
 
Lil Wayne wa album ipi hasa maana kwangu alianza sanda kwenye that Carter 3...Ila yule wa Carter 2 kurudi nyuma & wa zile Da drought mixtapes yule hasa ndo anayestahili hizo sifa uzisemazo
 
Lil Wayne wa album ipi hasa maana kwangu alianza sanda kwenye that Carter 3...Ila yule wa Carter 2 kurudi nyuma & wa zile Da drought mixtapes yule hasa ndo anayestahili hizo sifa uzisemazo
Kwani sisi tunaongelea phases za watu..mbn hatujasema jayz wa promotion na jayz wa album au Kendrick wa before goodkis mad city
Apo nmeongelea In general coz hata baada ya carter 2 mbn kuna ngoma nyingi kali alitoa though baadhi alifanya kuendana na soko
Lakin mfano 2 Skiliza 6foot 7foot afu uje uniambie ngoma ipi inazidi apo kwa punch
 
Kwangu kumuweka generally hivyo inakuwa ngumu sababu siku hizi amekuwa hit & miss tofauti na kwa mfano hao uliowataja kwani kwa baadhi yao ilikuwa ni growth simply na sio kusanda...
Kwangu kazi zake za siku hizi zinamchafua status yake

Ila nimekuelewa mzee na naheshimu mawazo yako pia
 
Hata Eminem alkuw kapotea akafanya comeback na kamikaze kama Wayne na carter5
Jay z skuiz hana hit kabisa
50cent ndo nani??
Pusha T ndo kabisaaaa
ila we still respect kwa vitu walivyowah kuvifanya
Kwny game kuna birth,growth,maturity hata decline haikwepeki
 
Inategemea na uonavyo kwangu Pusha bado mkali kimistari,Jigga anafanya grown man music siku hizi & Jigga+50 naona wapo kibiashara kuliko kimuziki
 
Kwangu mimi Nas ni bora zaidi kuliko Jay Z, nina sababu moja strong, Jay Z sikuzote anaimba kuhusu ufalme, utajiri, magari makali, nyumba nzuri, ushetani( illuminati), madem wakali, kujirusha na mengine ya kifahari, Wakati nikimsikiliza Nas nakuta story telling, harakati, habari za mtaani,....... Hapa sina budi kumpenda Nas zaidi. Sikiliza nyimbo ya Nas inaitwa One love.
sijakataa kama hayupo vizuri ila na swali kidogo kati ya jay z na nas yupi ni real hiphop na ni yupi mwenye mashairi bora kuliko wenzake ?..
tuanze na hapo kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom