Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Nas Ni conscious kuliko Eminem,ingawa Eminem naye sio kwamba ana mashairi mepesiHakuna kipya utakachonielekeza kuhusu Em wala Nas..!
Sijawahi kukutana na list inayomuweka Nas juu ya Em, mimi pia sijawahi kufikiria kufanya hicho kitu..!
Album za Nas ninazo kama zote, hizo za Em ninazo zote, so hauwezi kunidanganya chochote kuhusu hao watu..!
Kwangu mimi Eminem ndio rapa bora wa muda wote, sikulazimishi kukubali mawazo yangu..!
Nimetumia masikio yangu na ubongo wangu katika hili...
Nas mkali kuliko Em, naaaah...
Let's agree to disagree chief..!!!