intelinside
JF-Expert Member
- May 21, 2015
- 300
- 394
Kendrick wa juzi tu, sema yuko influenced na reality... Hence he is real too... At the moment anafanya vizuri as most of artists washapoteza...Usimchukulie poa Kendrick gwiji
Kendrick wa juzi tu, sema yuko influenced na reality... Hence he is real too... At the moment anafanya vizuri as most of artists washapoteza...Usimchukulie poa Kendrick gwiji
Huyu wine na lamar sio sehemu yaoAccording to billboard awa ndio mcs wakali kuwai kutokea duniani
1. BIG POPA
2. Jay Z
3. Eminem
4. Rakim Allah
5. Nas
6. Andre 3000
7. Lauryn Hill
8. GhostFace Killa
9. Kendrick Lamar
10. Lil Wayne
Verse ya pili imeenda pia kwa wale,ambapo naye tayari kashamjibu kupitia ngoma yake ya Groundhog day.J. Cole amemdiss Kanye West kwenye ngoma yake mpya False Prophets.
Ila kaifanya in a friendly way..mwishoni kasema i love ma brother,so kamjb kihiphop tu with no beefYap nimeisikia ni bonge ya comeback
KabisaHuyu wine na lamar sio sehemu yao
Top ten ya maemceez bora hawamuweki krs 1 kweli alafu wanamuweka lamar na wine. Hata hivyo hawa billiboard huwa siwakubali hata kidogoHuyu wine na lamar sio sehemu yao
Kwani mkuu trap ni hip hop??Pesa madafu ya Jay Moe inaweza kuibadili trend ya hiphop yetu hapa bongo. Ni wimbo ambao umezua mjadala mrefu kwa wanahip hop haswa kuhusu alichofanya Moe kama ni hiphop au ni ni kitu gani kaleta. Naamini Jay Moe kuleta new sound kwenye muziki wake kutamrudisha vyema kwenye game na kutaset trend mpya maana nimeona wanahiphop wengine nao wako na mpango wa kutrap. Hii inaweza kuondoa kasumba kwamba hiphop ni ile inayopita kwenye mstari wa midundo ya East coast au Westside. Hongera sana Jay moe kwa hii track.
Billboard is industry centric, kwenye hiphop you have to consider loco and underground MCs, yani pamoja na ufahamu wako kwenye hiyo list kumkosa mtu kana krs-one haikupi shaka?Billboard ni source makini ukitaka kupresent data za music, na hakika wamefanya research kabla ya kuja na hiyo list man.