Hini mnafikiri CCM wana nia njema na taifa hili?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Yaani watu wanaojitokeza wazi tena haaharani na kudai kua KATIBA sio kipaumbele kwao mtasema wanawapenda watanzania wanyonge?

Tuliulize kama hawataki kabisa kusikia katiba mpya wanataka nini? Wanahofia nini? Ni vipi watu wa aina hii kuwapenda wanyonge?

Tumudanganywa tukadanganyika,tutaendelea kudanganywa huku wao wakiendelea kutimiza matakwa yao.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom