Hilo neno maana yake nini?

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
3848c1ef040544829939dd1355f65c8d.jpg
 
Nimeuliza maana ya jina sijamaanisha vingine kama mnavyofikilia baadhi baada ya kusoma comment zenu...

Nahitaji kujua kama ni lugha ya kisukuma maana ndipo mkoa ilipo maana yake kwa kiswahili ni nini hiyo ndo hoja msinipandikizie maneno ambayo siko nayo
 
Kikwetu Kakonko ni tusi kubwa sana japo ni wilaya mpya mkoa wa Kigoma. Majina kana Ndikumana, Sengimana nk hayo kwetu usitamke lakin ni majina huwezi epa ndo lugha zetu.
 
Usishangae sana Mkuu.
Kuna watu huko Tunduru Wanaitwa MBANA, na nilisoma na binti mmoja anaitwa TULITO...mtoto wa Mzee Mbana. Full name ni TULITO MBANA.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom