Hilo la IGP Sirro kuomba Barua ya Waziri ili kukamata, ustaarabu huu umeanza lini?

Kwa kumbusho hili hapa, linabatilisha msemo ule wa kiswahili unaosema: yaliopita si ndwele, uwe yaliopita ni "ndwele"
 
Huu ndiyo utaratibu kumkamata mbunge. Lkn huko nyuma utaratibu huu umekuwa ukikiukwa.

Nadhani maushungi anataka utaratibu ufuatwe ktk kuwakamata wanaccm wenzake. Ndiyo maana Sasa imekuwa hivi.
 
Gwajima ni iceberg ndani ya bahari
Mkuu una maono. Umeona mbali. Hitler alivyotaka kuanzisha vita alitafuta sababu kwamba wajerumani waishio Czechoslovakia wananyanyaswa. Kikawa ni kisingizio cha kuivamia nchi hiyo. Gwajima anatumia chanjo kwa staili hiyo hiyo. Issue yake siyo chanjo!
 
Kwa Sasa iliumkamate mbunge yeyote lazima spika wa bunge apewe barua , nadhani huko nduki
IGP alitaka . Wapate barua kutoka ofisi ya spika na ukumbuke bunge limeanza vikao vya kamati

USSR
Wakati akina Sugu na wengine wanakamatwa kipindi kile vile havikua vikao vya bunge?
 
Hii movie ya gwaj kukamatwa watu wanapenda itokee. Tusubiri episode ya 3 Sasa. Ya Kwanza ya kuagizwa kukamatwa, ya pili ya barua..
Hii ni technical issue ,kuzuia kukamatwa .INAONEKANA SAMIA HAJAPENDA GWAJIMA AKAMATWE.HALAFU DOROTH KAPANIKI ,NA KAONGEA VITU VYA MIPASHO NA USWAHILINI.
 
We Nondo tulia dogo. Wapinzani wote kwa nn wanataka Gwajima akamatwe?! Hili mnalofanya wapinzani ni kosa jingine kama lile mliloshangalia kifo cha mkuu wa nchi na pia kama mlivyokua mnashangalia mauaji ya ikwiriri.
 
Yaani mwanasiasa anaamua mtu akamatwe na kuhojiwa na polisi? sheria za kipumbavu kabisa,kweli tunahitaji katiba mpya
 
CCM ni ile ile ni ile ile (kawimbo ketu) kale.Angekuwa CDM au CUF au ACT duuu wala waziri asingetangaza.Mungu anawaona ujue
 
Maelezo mengi kumbe utumbo tu.
Kabisa

Dogo anajifanya ACT kumbe chawa wa vijana walioteuliwa na mama kama wakurugenzi na ajifanya anajua kila kitu.

Sipendi kumchagulia watoto wangu kozi ya kusoma CHUO KIKUU lakini sitaki kuwasikia wanasomea sijui POLITICAL SCIENCE.
 
Mleta mada ungeuliza tukujuze kwa nn mwanzo alimhoji/kumuita afike ahojiwe bila kuuliza barua kutoka kwa RC,mahojiano ya kwanza gwajima hakuwa mbunge,kwa Sasa ni mbunge ,na katiba inasema ili kumkamata mbunge ni lazima spika wa bunge apewe barua,halafu na yeye atoe kibali Cha kukwamatwa kwa mbunge husika.kinyume Cha hapo haiwezekani !
 
Kwa Sasa iliumkamate mbunge yeyote lazima spika wa bunge apewe barua , nadhani huko nduki
IGP alitaka . Wapate barua kutoka ofisi ya spika na ukumbuke bunge limeanza vikao vya kamati

USSR
Hii sheria inafanya kazi kwa wapinzani? Nakumbuka Sugu alikamatawa several times na hatukusikia lolote toka kwa spika
 
U
Mleta mada ungeuliza tukujuze kwa nn mwanzo alimhoji/kumuita afike ahojiwe bila kuuliza barua kutoka kwa RC,mahojiano ya kwanza gwajima hakuwa mbunge,kwa Sasa ni mbunge ,na katiba inasema ili kumkamata mbunge ni lazima spika wa bunge apewe barua,halafu na yeye atoe kibali Cha kukwamatwa kwa mbunge husika.kinyume Cha hapo haiwezekani !
Unachokisema si kwa ajili ya wabunge wote ni kwa ajili ya wanaccm tu kwani wakati wa mfumo wa Bunge la vyama vingi tulishuhudia wabunge wa upinzani wakikamatwa hata kwenye eneo la Bunge bila Spika kujua! Kwa sasa hatuendi kwa katiba mpaka hapo uchumi utakapotengamaa.
 
Hii ndiyo Tanzania hakuna mfumo unaoeleweka unaofuatwa katika utendaji kazi kila moja anaamka alikolalia na kufanya anayojisikia kufanya bila kujali anachosema au anachofanya anatekeleza sheria au anavunja sheria it seems watendaji wengi wa uma they know nothing mipaka yao kazi yanayosimamiwa na sheria za nchi zilizopo.
 
Kesi ya sabaya kuvamia bila kibali au document au ushahidi wa aliyemtuma imewafungua matundu
 
Unajichanganya kwenye hoja yako. Unasema Sirro kafanya double standard, wakati huo umesema Sio huyo alisha mkamata Gwajima kwa agizo la Makonda

Sasa kampendelea Nan? Gwajima yule yule, Siro yule yule.
hujaelewa hoja, kwaheri
 
Back
Top Bottom