Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,225
- 113,566
- Thread starter
- #41
Hata mwaka 2008 nomination supposedly ilikuwa yake lakini Obama akaibuka from nowhere akamnyang'anya tonge mdomoni.Huyu Mama kabebwa sana ila habebeki. Comey na Obamas kama wasingekua upande wake nadhani angeshindwa vibaya sana, Obama alicha majukumu yake ya kitaifa na kushinda kumpigia campaign Hillary ila Leo anakuja mlalamikia Obama. Smh
2016 nayo hivo hivo!
Kidume Trump bila hata backing ya GOP establishment kaibuka from nowhere nani kumnyang'anya tonge mdomoni.
Imagine wote walompigia kampeni...kuanzia akina Obama...mumewe Bill...Jay-Z na Beyonce...Katy Perry...JLo...Lady Gaga...Madonna...LeBron James...etc....lakini wapi.
Meanwhile Trump alikuwa na basket yake ya deplorables tu....ahahaaa
Noma sana yaani.