Hillary Clinton ameamua kuwa evangelical preacher "ameokoka".

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Washington post Ina ripoti kwamba Hillary clinton ( former conservative republican ) .Ameamua kumrudia Mungu .Kwa watu wanaomfahamu hillary .Hillary clinton wazazi wake walikuwa Republicans na Hillary alivyoolewa akaamua kuwa Democratic kwa ajili ya mumewe .Hillary alikuwa ameokoka na leader wa conservative movement Yale university .Again Hillary anamrudia Mungu na to become a preacher soon
 
Bila shaka na Monica Lewinsky nae ataokoka soon.
 
Wewe goo
Kheee kheeee kheeeeeeeeeeeeeeeeee muke ya
Muzungu banaa!
. Wewe google hillary pastor ( nilishtuka ) sasa hata kanisani siendi tena.Nimeangalia Wikipedia ni kweli alikuwa republican .Aiseeerrr
 
Teh teh teh....kibibi gagula keshatoka huko maporini?

Yaani kila nikikumbuka wapumbavu fulani hivi kushangilia matokeo ya kura za maoni zaidi ya siku 500 kabla ya uchaguzi na kila nilipojaribu kuwaelewesha kuwa kura za maoni hazimchagui rais na wao kushindwa kunielewa, huwa nacheka kwa dharau nyingi sana.

Safi sana rais Trump kwa kuwafunga kidomo domo hao wapumbavu.

Teh teh teh......
 
Long time no see. Where have you been? Welcome back, Bagheshi!
 
Nas

Nasikia White House bible study sio mchezo .Choo cha Transgender kimevunjwa ,gay month celebration marufuku .Mike pence watamkoma
Hii kitu inamjengea Trump na timu yake and Republicans heshima ya ajabu. Hongera kwa maono haya. Bila hofu ya Mungu ni ubatili. Watu walifikia kutangaza ushoga kama haki ya msingi! Walaaniwe washenzi wale.
 
Yale university si ndiyo waanzilishi wa skull n bornes? Hapo kuokoka kwa Hillary kunatia shaka sana..hebu toa maelezo vizuri hapo mkuu.
 
Bravo Hillary kama umeokoka haijalishi hata kama ni kwa ajili ya stress, kwani Mathayo 11:28 haijaacha kitu.

Yote yanayoshindikana, kwa Mungu yote hayo yanawezekana, wapuuze wale wanaojaribu kukukatisha tamaa kwani hao ni mawakala wa shetani. Ubarikiwe Sana. Amen.
 
Back
Top Bottom