Hillary Clinton " alifikiria kwenda kwa wachawi "

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Hillary Clinton aneandika kitabu " What happened".Kwenye hiki kitabu Hillary anaonekana amechanganyikiwa sana kushindwa uchaguzi.Scandal yake ya server anasema " Alitaka kwenda kwa wachawi Ili waandishi wa habari na watu wanaompinga Waumie( Mchawi Huyo atengeneze Voodo dolls awe anaweka pin yeye mwenyewe.1975 Hillary and Bill walienda kwa mganga for honeymoon .Spirit cooking soup .
 
Madaraka ni kitu kibaya sana kama mtu akikosa hekima ya kutenga nguvu ya kupenda madaraka hadi kufikia hatua ya kukosa utu.

Any way, kumbe siyo Africa tu watu kuua ili wapate, wabakie madaraka na kupata vyeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom