Hillarious miss ever!..check this out

Duuu, nilikuwa nafahamu miguu ina makengeza ila siyo hivyo.

Ukisikia mtu kabaki na goli, huyu ni zaidi ha hiyo maana unaacha goli looote na kuja kupiga post nje na wakati huo kabaki peke yake na Mungu wake. Unaweza siku hiyo ukaamini kuwa kuna juju................
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom