Hill water na Afya Water punguzeni midomo(kipenyo) ya chupa zenu za maji.

mdomo mpana wa chupa unakusaidia kunywa maji vizuri, yaani maji yakiwa yanatoka na hewa inaingia, hii inafanya chupa isibonyee wakati unakunywa maji. Lakini mdomo wa chupa ukiwa mdogo itakulazimu uwe unakunywa maji kwa kupumzika ili chupa isibonyee.
 
kama we unakamdomo ka kitoto usifikiri kila mtu ana hicho kidomo wenzako wamepiga hesabu ya watu wenye madomo
 
SASA MKUU UNATAKA KUNYWA MAJI AU UNATAKA KIPENYO? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom