Hili wimbi la wanawake wanaosema "Naomba nizae na wewe na jukumu la kulea niachie mimi" limetoka wapi?

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
635
2,305
Hey pals,,,

Najua mko poa Ryt,,,,

Okay Freshhhh.

Kumekuwa na Ongezeko la wanawake kuwafuata wanaume na kuwaomba wazae nao bila kuwepo na mazoea yoyote,Mimi nimeandika hii mada Kutokana na kufuatwa na zaidi ya wasichana watatu ndani ya mwaka huu,

Gia wanayo kuja nayo hawa wadada ni kama wote inafanana,Atakufuata na kukueleza "Kaka samahani,Mimi siyo malaya,Naomba unielewe hivo,Nilikuwa Naomba kuzaa na wew japo najua yupo mwingine umpendaye ila tu mim ninaomba nizae na wew na jukumu la kulea niachie mim mwenyew, ntajitahid kadri ya uwezo wangu ili Mwanangu ale,Lengo Langu mim ni kutaka kuzaa na wew tu na ntafurahi sana kama ukinikubalia,pia kama ntakuwa nimekukera Naomba unisamehe"!

Huwa najiuliza maswali,hawa wanawake wanakuwa na shida gani?

Kule Facebook imetokea zaid ya Mara tatu,na jana pia kuna mshikaji wangu kaombwa kuzaa na demu flan,yani yule demu kaandika hyo insha ya kumbembeleza mchizi mpaka nikawa nashangaa aisee,nikamwuliza mshikaji " Kwani umewahi kumtongoza"? jamaa kanambia hajawahi, Bali huwa ni salamu tu wakikutana!,Niliendelea kuulizia Hata kwa watu wengine nikagundua kumbe hili jambo lipo sana aisee.
Je Hizo mimba tukiwapa watalea kweli wenyewe? au mbwembwe tu

Na je,Humu kuna mtu amewahi kukutana na hili suala? Alifanyeje?

Jimmy-The-Inimitable.
 
Ata sie wanaume tunawaomba watuzalie tunawalipa, ila mtoto
akishazaliwa yeye hausiki naye

Apo ni fifty fifty hakuna cha kushangaa
 
Wanasumbua sana baadae maana atajiona amebeba silaha ya kukuharibia mipango yako na ukiwa na partner ambaye anayumbishika kidogo, inakula kwako.
 
Hey pals,,,

Najua mko poa Ryt,,,,

Okay Freshhhh.

Kumekuwa na Ongezeko la wanawake kuwafuata wanaume na kuwaomba wazae nao bila kuwepo na mazoea yoyote,Mimi nimeandika hii mada Kutokana na kufuatwa na zaidi ya wasichana watatu ndani ya mwaka huu,

Gia wanayo kuja nayo hawa wadada ni kama wote inafanana,Atakufuata na kukueleza "Kaka samahani,Mimi siyo malaya,Naomba unielewe hivo,Nilikuwa Naomba kuzaa na wew japo najua yupo mwingine umpendaye ila tu mim ninaomba nizae na wew na jukumu la kulea niachie mim mwenyew, ntajitahid kadri ya uwezo wangu ili Mwanangu ale,Lengo Langu mim ni kutaka kuzaa na wew tu na ntafurahi sana kama ukinikubalia,pia kama ntakuwa nimekukera Naomba unisamehe"!

Huwa najiuliza maswali,hawa wanawake wanakuwa na shida gani?

Kule Facebook imetokea zaid ya Mara tatu,na jana pia kuna mshikaji wangu kaombwa kuzaa na demu flan,yani yule demu kaandika hyo insha ya kumbembeleza mchizi mpaka nikawa nashangaa aisee,nikamwuliza mshikaji " Kwani umewahi kumtongoza"? jamaa kanambia hajawahi, Bali huwa ni salamu tu wakikutana!,Niliendelea kuulizia Hata kwa watu wengine nikagundua kumbe hili jambo lipo sana aisee.
Je Hizo mimba tukiwapa watalea kweli wenyewe? au mbwembwe tu

Na je,Humu kuna mtu amewahi kukutana na hili suala? Alifanyeje?

Jimmy-The-Inimitable.
Ndoa zimekua mitihani wanaona bora ajihami mapema kua singo maza kuliko kuingia wakati unajua utashindwa
 
Mwenyewe nilishagawa mbegu kwa wawili!! Mkenya na Mtanzania mwenzangu. Kila moja kwa wakati wake,ulikuwa mtego hasa. Kwa sasa wanajuana kwamba watoto wao baba yao mimi;wamekuwa karibu,wanaachiana watoto. Kuna siku walipanga tutoke wote pamoja,mwenyewe sijui lolote. Niishie hapo kwanza,upepo wa kisulisuli unapita
 
Back
Top Bottom