Hili wimbi la wanaume kutafuta wenzi Kuna kitu hakiko sawa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,557
44,747
Nyuzi za wanaume kutafuta wanawake wa kuoa zimekuwa nyingi kwenye mitandao ya kijamii halafu wanawake sijui mnafeli wapi mnatukatalia vijana tunataka kuoa Sasa hivi tuko serious tumechoka kulala peke yetu usiku.hatuogopi Cha migogoro Wala kero zenu borea lifahamike moja tu tumechoka ku waste sperm tunataka ziende shamba husika.me mwenyewe nalalamika Sana eti pamoja na ujanja wangu wote Na pesa zangu na elimu yangu na uHANDSOME boy wangu bado nimekosa mrembo mmoja Tu wa kumuweka gheto kweli Dunia imeisha nimeamini.

Mliooa au mliofanikiwa kuwaweka wanawake ndani wakatulia wasiruke Tena mlifanyaje fanyaje mbona me kila nayemwambia anajua nafanya utani.
 
Ukiona mitandaoni kazi imezidi basi ujue huko mtaani kila mwanamke ana maombi 10 ya ndoa.
 
NAWAHI SITI TU
Nipe mbinu...mademu zangu wote niliodhani nitawaoa kwa kuwa tumekuwa nao kimahusiano kwa Zaid ya mwaka nimeshaachana nao wote.sa hv nataka anayepumua tu Ila awe mzuri mzuri msafi
 
Nyuzi za wanaume kutafuta wanawake wa kuoa zimekuwa nyingi kwenye mitandao ya kijamii halafu wanawake sijui mnafeli wapi mnatukatalia vijana tunataka kuoa Sasa hivi tuko serious tumechoka kulala peke yetu usiku.hatuogopi Cha migogoro Wala kero zenu borea lifahamike moja tu tumechoka ku waste sperm tunataka ziende shamba husika.me mwenyewe nalalamika Sana eti pamoja na ujanja wangu wote Na pesa zangu na elimu yangu na uHANDSOME boy wangu bado nimekosa mrembo mmoja Tu wa kumuweka gheto kweli Dunia imeisha nimeamini.
Mliooa au mliofanikiwa kuwaweka wanawake ndani wakatulia wasiruke Tena mlifanyaje fanyaje mbona me kila nayemwambia anajua nafanya utani.
Kwa nn unajumuisha malalamiko yako ya kutosikilizwa na mademu ktk umoja ilihali domo zege ni wewe peke yako mm?
Tafadhali tuheshimiane bwashee wajuba hatusumbuliwi na hivi viumbe jiongeze uache udomo zege 😀
 
Kwa nn unajumuisha malalamiko yako ya kutosikilizwa na mademu ktk umoja ilihali domo zege ni wewe peke yako mm?
Tafadhali tuheshimiane bwashee wajuba hatusumbuliwi na hivi viumbe jiongeze uache udomo zege
Mkuu toka lini muhuni akawa Domo zege Me sio Domo zege Basi tu timing mbovu
 
Huwa inasemekana wanawake ni wengi kuliko wanaume sasa sijui hii ni dalili ya nini
 
Unasema wanaume au wanawake?..

Yani mwanaume tokea lini akakosa mke.. watu tunakimbia kuoa we unaona kuoa ni sifa au sio..

Back
Top Bottom