Hili tusi la Siku hii ya Valentine limenitafakarisha

Lakini haya mambo ya kukaa kizembe unasubiri eti watoto waje wakujengee haijakaa vizuri! Umetangulia kuliona jua alafu unasubiri dogo aje akujengee? Utasuburi sana! Huu ni ubwege uliopitwa na wakati. Mzazi umridhisha mtoto na sio mtoto kumridhisha mzazi!
Unaangalia na kitu cha pekee alichokufanyia mzazi wako,
Kuna wazazi wamewapa watoto wao malezi ya pekee sana. Hata akijenga kwa ajiri ya mzazi mie sishangai.

Mazizi aheshimike kwa aina ya malezi aliyotoa kwa mtoto sio ety kukuzaa tu peke yake na kukupa chakula ndo ajikute Mungu.
 
Sio tu watoto wa kiume, mimi nilijipendekeza kufanya finishing ukweni utafikiri kwetu shida zimeisha....wakati huo mahaba yamenitia upofu. Nilipoona true colours za walimwengu na matukio niliyopigwa nilifyata mkia kama mbwa mgonjwa nikarudisha kihere here changu kwetu.
Sasa wamekosa mwana na maji ya moto wanaishia kuntangaza kwa ubaya.Mwenzao nimepiga hatua mtoto wao karudisha mpira kwa kipa kaoa mke wanaishi hapo hapo ukweni.
Nimeamini baraka ya mtoto iko kwa wazazi wake na sio ukweni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuuuh pole na hongera sana.
 
Watu wengine jamani.
Mzazi wako amekulea kwa shida labda mlikua mmepanga vyumba viwili mama muuza chapati baba mchoma mkaa. Wamebangaiza umesoma ukapata kazi nzuri mshahara wa maana. Wazaz wako bado wako palepale nyumba ya kupanga. Kama iko ndani ya uwezo wako kwanini usijenge nyumba ya wazazi wako maana at the end of the day na wewe utakua unaenda kusalimia kwenu utakua unafikia hapo kwenye nyumba ya kupanga. Au umekufa mazishi yanafanyika kwenu hapaeleweki huku mjini full kujitanua
Mimi binafsi yangu kama wazazi wangekua hawana nyumba hiyo ingekua ni first priority.
Ni sahihi sana pia
 
Kujenga ukwen au kwenu ni tatizo

Jenga nyumba yako zinazo patikana wekeza zikusaidie izeeni sio kujifanya unajua kuwajengea wazazi

Kwani wao walikuwa wapi kujijali mpaka wewe uwajali

Tumia muda na nguvu zako vizuri nawe usije subiri wakwe na watoto wako waje wakujengee
Well said mkuu ... Agiza togwa naja kulipa
 
Lakini haya mambo ya kukaa kizembe unasubiri eti watoto waje wakujengee haijakaa vizuri! Umetangulia kuliona jua alafu unasubiri dogo aje akujengee? Utasuburi sana! Huu ni ubwege uliopitwa na wakati. Mzazi umridhisha mtoto na sio mtoto kumridhisha mzazi!
True
 
Hata kama ulikuwa wajibu wao lakini walihangaika kuutimiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulitaka ahangaike Nani !? Wakati wao wenyewe ndio walioamua kukuzaa na wewe ukiwa Kama mtoto wao hata haukuwaomba wakuzae ...so ni haki yako ukiwa Kama mtoto wao kukuhangaikia so wanapaswa kuwajibika katika Hilo kwani kabla ya kukuzaa walikuwa hawajui kuwa ukiwa na mtoto ni lazima umuhangaikie !?
 
Sio tu watoto wa kiume, mimi nilijipendekeza kufanya finishing ukweni utafikiri kwetu shida zimeisha....wakati huo mahaba yamenitia upofu. Nilipoona true colours za walimwengu na matukio niliyopigwa nilifyata mkia kama mbwa mgonjwa nikarudisha kihere here changu kwetu.
Sasa wamekosa mwana na maji ya moto wanaishia kuntangaza kwa ubaya.Mwenzao nimepiga hatua mtoto wao karudisha mpira kwa kipa kaoa mke wanaishi hapo hapo ukweni.
Nimeamini baraka ya mtoto iko kwa wazazi wake na sio ukweni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajengeje ukweni kwa mfano !?? Pesa zinakuwakuwa zina kuwasha Sana au !? Mimi sio ukweni tu hata kwetu kwenyewe sidiriki kujenga labda niwe multi millionaire
 
Wabongo bhana, watu simple, maisha yetu simple tu, kila kitu kina jibu simple tu, sasa mtoto analia unasema anamsumbua mama yake, kama anaumwa je? Kulia ndo njia pekee mtoto anaweza kuitumia kuelezea hisia zake kwani hawezi kuongea kama wewe na mimi.
Nimekupata vyema mkuu,, ila siyo maisha simple bali ni ugumu wa maisha ndio unatupelekea kua na mitizamo hasi kwa kila jambo,,hata kama litakua la kufikiria zaidi,,.Ila sisi tunafikiria kidogo na kujibu vitu simple..
 
Back
Top Bottom