Hili tatizo la wireless Apps kutofanya kazi kwenye Samsung a10s nalisolve vipi?

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,858
38,462
Wakuu kwema?

Nina Samsung hapa a10s android 10, ina zaidi ya mwaka.

Ni ghafla kuanzia bluetooth, hotspot na wi-fi zote haziwaki. Nimejaribu kurestore simu lakini bado hakuna kitu.
Cc Chief-Mkwawa ymollel
 
A10 and A10s zinatatzo la wifi ic kufa. Inatakiwa kubadilishwa hyo chip. Ni tatzo common sana ukienda kkoo mtaa wa agrey kuna mafundi wanazibadilisha hzo
 
Back
Top Bottom