Hili tatizo la umeme linashusha uchumi wa nchi kwa kasi

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,069
3,705
Hapo vip!

Hili tatizo laumeme tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho la kiuchumi.

Uchumi wa watanzania wengi unategemea umeme, sasa kama umeme unakatwa kirahisi rahisi tu. Tafsiri yake nikwamba serikali na Tenesco mmekuwa chanzo cha umaskini kwa Watanzania.

Tunaomba serikali iwe sereous na maisha ya wananchi wake, waziri wanishati alitoa kauli ya kisiasa yakwamba anawapa Tenesco siku nne wahakikishe umeme unakuwa wa uwakika. Naona siku nne zimeshapita, bado tatizo limekuwa kubwa zaidi.

Tunaomba waziri aende mbali zaidi achukuze kama kuna uzembe watu wawajibishwe huu sio muda wa kuleana, huku mabilioni ya Watanzania wakiteseka.
 
Hakuna cha uzembe, waziri anajua yote, tatizo ni kutawaliwa na dola lisilotaka kusikia aina yoyote ya lalamiko kuelekezwa kwake, hata kama linaumiza wananchi kiasi gani. Hata Tanesco wanazuiwa kutamka tu kuwa leo hakuna umeme maeneo fulani, ili walau watu wajipange.
 
Tunalalamika eti kuna watu (Mabeberu) wanavita ya uchumi na sisi wakati tunashindwa kujipanga katika tu vitu vidogo. Kila siku mara tatizo kwenye hiki mara hiki huo uchumi utaimarika saa ngai?
 
Back
Top Bottom