hili tatizo inabidi liangaliwe mapema sana tunakoelekea pabaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hili tatizo inabidi liangaliwe mapema sana tunakoelekea pabaya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kingxvi, Aug 21, 2012.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe acha kuropoka,wewe unaijua hadhi ya degree????au hujaipa ndo maana unaona ni issue????wewe na hiyo one yako unaweza toka na pass huyo mwenye 3 akawa na first class.acha ubinafsi soma tuone ufaul vizuri wako.
   
 3. j

  john chammy Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa mnabishana na ukweli?
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,022
  Likes Received: 37,760
  Trophy Points: 280
  Principle 2 ni system ya dunia nzima.Tatizo nchi yetu ilichelewa kuwekeza katika elimu ya juu.

  Hata hivyo nimegungua wabongo wachche waliokuwa wanahitimu vyuo vikuu walikuwa wanajiona ni watu wa kundi tofauti sana ktk jamii.Tatizo wengi hamjapata exposure kujua mambo ya elimu ya juu yakoje ktk nchi za wenzetu.

  Kila kitu kina mwanzo na mwisho.Ukiritimba wa vyuo vichache umepitwa na wakati.
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikifuatilia sana comments zako,nimegundua wewe ni mbinafsi sana na mtu wa majivuno sana,haya mkuu na hiyo one yako ya1
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapo kwenye red ndo tatizo kubwa la hao mapimbi
   
 9. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vyuo vingine ukimaliza ukienda sehemu zingine ukawaambia nimemaliza degree chuo fulani watakushangaa hadi wewe utajishangaa
   
 10. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huna kazi mpaka unamfuatilia mwanaume?
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  kama wewe usivyokuwa na kazi
   
 12. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Unaami kwamba Necta ni kipimo tosha cha uwezo wa mtu.?
   
 13. j

  john chammy Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unabongaga pumba 2!!
  Ungekuwa wa kike ungekuta ushazalishwa watoto 100
   
 14. I

  Izzo G JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 417
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acha u. K.u wewe pimbi tatizo mnajiona sana achen majigambo mtaangamia na hzo div 1 na kutoacha wenye 3 tukila bata mambo ya mt achana nayo kama umepata chuo haya na usitujaji wenye dv 3 malaya mkubwa wewe we unadhan msuri wa adv mchezo
   
 15. Jomla

  Jomla Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Siku hizi mitihan haivuji kama kipindi chenu we jikute tu na hyo one yako.
   
 16. M

  MTITIMA Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi fikiria kama bado kuna watu wana akili mbovu kama huyu jamaa.ulitaka chuo wasome wenye div ngapi sasa?
  Tatizo hujafika chuo thats why unalopoka ngoja uende na hiyo One yako alafu uwakute wenye hizo Div 3:14 na watakukimbiza mpaka uombe wakufundishe.
  Umejishusha sana aisee.kupata one sio kuwa una akili bali mtihani uliuotea.
  Siku zote akili haipimwi kwa division bali uwezo wa kutatua mambo na kufikiria.mi binafsi wenye div 1za siku hizi nawaona hamna kitu tu maana wengi wao ni wa kukariri
   
 17. Gerald shayo

  Gerald shayo Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wew ucwe mackin wa akil princle 2 z applicable ol ova da world mi nina ndugu yang anasoma degree USA texa alipata scholarshp na 3 ya 16 only 2 princeplez! Xo shut da f**k up!
   
 18. Lhey

  Lhey Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani huyu jamaa kuna mtu alikuwa anamkashifu kwa kupata div 3 wakati yeye ana 1. Sasa amejikuta amepangiwa facult moja na huyo mshkaji au mshkaji kapangiwa nzuri zaid yake. Sababu ni kwamba, TCU hawana akili finyu kama za kwake.
  Ni hayo tu
   
 19. MMDAU

  MMDAU Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  siku zote wajuzi wa mambo huwa haturopoki na kipimo cha mtu kuwa na elimu ni jinsi anavyokabiliana na changamoto zinazo mzunguka na kuzitafutia ufumbuzi yakinifu
  hivyo usikariri kichwani kuwa kufaulu darasani ndio kipimo tosha cha kuwa na akili. mfano marangapi tumesikia shule wanazoita ni za

  vipaji mbona kuna div4. watu hatufanani kama husoma hujui picha hiyo hapo chini tizama

  555563_3081032684431_453807376_n.jpg
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Wafundishe MMDAU.

  Yaani hii obsession over paper qualification itatuua.

  Unakuta mijitu ina Masters degree hata kuandika barua haijui.

  Pathetic.
   
Loading...