Hili tangazo vipi?

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,031
760
Kuna tangazo moja la simu za mikononi, utasikia "simu unayopiga haitumiki kwa sasa, mteja amehamia airtel, hamia sasa......"

kumbe wateja wakihamia huko wanakuwa hawaatumii tena simu au....?wanatumia nini sasa? halafu watu wenu wahame mara ngapi? mara celtel, zain, airtl. mtahama marangapi? kwani nyie wapangaji?
 
kuna tangazo moja la cm za mikononi, utasikia "simu unayopiga haitumiki kwa sasa, mteja amehamia eyatel,hamia sasa......"
kumbe wateja wakihamia huko wanakuwa hawaatumii tena simu au....?wanatumia nini sasa? halafu watu wenu
wahame mara ngapi? mara celtel, zain, airtl. mtahama marangapi? kwani nyie wapangaji?

ehh we una hasira za nyongeza?
sa kinachokuboa kwenye u upupu ninin?
 
kuna tangazo moja la cm za mikononi, utasikia "simu unayopiga haitumiki kwa sasa, mteja amehamia eyatel,hamia sasa......" kumbe wateja wakihamia huko wanakuwa hawaatumii tena simu au....?wanatumia nini sasa? halafu watu wenu wahame mara ngapi? mara celtel, zain, airtl. mtahama marangapi? kwani nyie wapangaji?
na wewe hamia huku
 
kuna tangazo moja la cm za mikononi, utasikia "simu unayopiga haitumiki kwa sasa, mteja amehamia eyatel,hamia sasa......"
kumbe wateja wakihamia huko wanakuwa hawaatumii tena simu au....?wanatumia nini sasa? halafu watu wenu
wahame mara ngapi? mara celtel, zain, airtl. mtahama marangapi? kwani nyie wapangaji?

Ha ha haaaa Tafadhali ichunguze Number unayopiga kisha irudie kupiga kwa makini...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom