Ni matapeli, unicef wanatumia domai yao wenyewe kwenye email. Usijaribu kutuma chochoteViongozi Salama
Nimetumiwa Tangazo Na Rafiki Kama Lilivyo Hapa Chini, Naomba Msaada Kujua Ni Kweli Ama Matapeli View attachment 1213911
Shukrani Sana Kiongozi
Maendeleo haayana chamaViongozi Salama
Nimetumiwa Tangazo Na Rafiki Kama Lilivyo Hapa Chini, Naomba Msaada Kujua Ni Kweli Ama Matapeli View attachment 1213911
Utapeli mtupu hapo kuwa makini.Viongozi Salama
Nimetumiwa Tangazo Na Rafiki Kama Lilivyo Hapa Chini, Naomba Msaada Kujua Ni Kweli Ama Matapeli View attachment 1213911
Hiyo ....@gmail mmh ,naskia harufu ya upigaji ,lipotezee tu
Barabara ya Karume ipo na ndiyo ofisi za UNICEF zilipo ila walichokosea ni email address na namba za simu,vilivyobaki wamepatia.Achilia mbali gmail. Dar hakuna barabara ya Karume, ambako hao Unicef wanaonesha wapo. Un wote wapo Oysterbay pale karibu na Didi's.
Utapigwa kiboyaViongozi Salama
Nimetumiwa Tangazo Na Rafiki Kama Lilivyo Hapa Chini, Naomba Msaada Kujua Ni Kweli Ama Matapeli View attachment 1213911
Mkuu, naomba uniwekee website yao hapaCheki kwenye web yao huwa wanaweka matangazo ya kazi.