Hili tangazo la ajira UDSM 2017 lina ukweli wowote?

Dyf

Senior Member
Feb 2, 2016
185
149
Habarini wana jamvi.!Niende moja kwa moja kwenye mada kuna tangazo linasambaa kwenye mitandao kuhusu ajira za UDSM,lakini halionekani kwenye website wajuzi mnaofahamu je lina ukwel wowote au ni feki?
Asantheni
 
UDSM inaajiri vipi wakati ajira zake zinatoka utumishi?....Kwani Mkuu amesharuhusu ajira?
 
Mkuu kaachia ajira tayar....lakini naona hizi institutions wanaajiri wao wenyewe wanapata kibali tu
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
UdsM inaajiri via serikali,nenda UDSM ukaulize,maana usije ibiwa na watu wa mintandaoni .
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Habarini wana jamvi.!Niende moja kwa moja kwenye mada kuna tangazo linasambaa kwenye mitandao kuhusu ajira za UDSM,lakini halionekani kwenye website wajuzi mnaofahamu je lina ukwel wowote au ni feki?
Asantheni

Hilo Tangazo la mwaka jana hata humu JF lipo.

Sema halioneshi tarehe yeyote na deadline walisema baada ya wiki mbili hivyo linawachanganyana sana watu na sasa hivi naona lipo linasambaa sana sehemu nyingi sana.

Nasububiri kusahihishwa na wajuzi.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf

Yaani lisiwe la kutunga jamani nimewatumia rafiki zangu na nimewashawishi waombe sijui nitaonekanaje
 
Ni Tangazo la mwaka jana mkuu... Hawajatoa Ajira tena nime conferm na principal wa College ya Agriculture and Fisheries technology prof Machiwa kanambia Hawajatoa Ajira this year
 
Mwafaaa.
Masela kibao wametupia maombi tena posta kwa njia ya ems yani very expensive
 
Habarini wana jamvi.!Niende moja kwa moja kwenye mada kuna tangazo linasambaa kwenye mitandao kuhusu ajira za UDSM,lakini halionekani kwenye website wajuzi mnaofahamu je lina ukwel wowote au ni feki? Asantheni

Wenyewe wamelikanusha jana kuwa siyo kwel
 
Sasa kama wenyewe wamelikanusha sio kweli unatafuta ukweli gani tena?
 
Nilimjib aliyekuwa ameuliza, nikasema wenyewe jana wamelikanusha. Kwahiyo muulize aliyeuliza hicho unachoniuliza mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom