Kuna wakati utumishi wana wa kasimisha!UDSM inaajiri vipi wakati ajira zake zinatoka utumishi?....Kwani Mkuu amesharuhusu ajira?
Habarini wana jamvi.!Niende moja kwa moja kwenye mada kuna tangazo linasambaa kwenye mitandao kuhusu ajira za UDSM,lakini halionekani kwenye website wajuzi mnaofahamu je lina ukwel wowote au ni feki?
Asantheni
Yaani lisiwe la kutunga jamani nimewatumia rafiki zangu na nimewashawishi waombe sijui nitaonekanajeHilo Tangazo la mwaka jana hata humu JF lipo.
Sema halioneshi tarehe yeyote na deadline walisema baada ya wiki mbili hivyo linawachanganyana sana watu na sasa hivi naona lipo linasambaa sana sehemu nyingi sana.
Nasububiri kusahihishwa na wajuzi.
Habarini wana jamvi.!Niende moja kwa moja kwenye mada kuna tangazo linasambaa kwenye mitandao kuhusu ajira za UDSM,lakini halionekani kwenye website wajuzi mnaofahamu je lina ukwel wowote au ni feki? Asantheni
Wenyewe wamelikanusha jana kuwa siyo kwel