Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

muhala.jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
728
600
Najaribu kufuatilia show ya Wasafi Festival grand finaly, what I see jamaa bado wana long way to go.

Kuna matchup na Fiesta maana hata arrangement yao ni hovyo plus wasanii wao wengi ni wale Old School tu.

Sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist!
 
Najarbu kuftalia show ya ya wasafi festival grand final..wat i see jamaa bado wana longway to go kuna matchup na fiesta mana hata arrangment yao ni ovyo plus wasanii wao wengi ni wale oldscul tuu sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist

Lakini wamejaza kwa wasanii wale wale wazamani, hilo ndio muhimu tena kwa shiling 10 elfu kingilio.We wasubirie wazee wa buku 5 na wasanii wao wapya.

Najua huamini unachokiona,Wasafi kujaza kwa kutumia wasanii wa zamani tena kwa shilingi 10.
 
Tunatofautiana mahitaji mkuu. Mimi napendezwa na hao oldskul sana. Hawa wa siku hizi sioni wanaimba nini zaidi ya kuweka midundo mizuri tu.
Nimefurahi sana kuwaona Juma Nature, Wanaume, Z-Anto, Prof J,TID na wengineo kwa steji. Nimekumbuka mbali.
 
Mondi stick na Music....huku kwenye TV unapoteza muda na hela zako tuu..
Masikiniiii angalia viewers wa YouTube huko upagawe.
Hapo hatujagusa Wasafi tv na Fm.
Leo wanakusanya zaidi ya 500 million PPV za Azam sijui nisemeje.
Visimbuzi vingine kama DSTV, STARTIMES na ZUKU hahahaha

Ukishaona jiulize anayestahili kuacha hii biashara ni Channel 10, Star tv, Clouds tv na +, TV E, TBC au Wasafi TV kisha unipe jibu
 
Kwani unaongelea nn tv na redio ni zake au anahisa ndogo tu?!
 
Masikiniiii angalia viewers wa YouTube huko upagawe.
Hapo hatujagusa Wasafi tv na Fm.
Leo wanakusanya zaidi ya 500 million PPV za Azam sijui nisemeje.
Visimbuzi vingine kama DSTV, STARTIMES na ZUKU hahahaha

Ukishaona jiulize anayestahili kuacha hii biashara ni Channel 10, Star tv, Clouds tv na +, TV E, TBC au Wasafi TV kisha unipe jibu

mnhhh labda unafaidika na hio TV ikienda utakosa ugali wako,anyway ni ushauri tuu anaweza akauchukua au kuuacha...
 
mnhhh labda unafaidika na hio TV ikienda utakosa ugali wako,anyway ni ushauri tuu anaweza akauchukua au kuuacha...
TV hii na Radio mpaka unaiona na kuisikiliza kwako yametumika Mamilioni ya dollar.
Watangazaji wakubwa hao unaowaona wameletwa kwa mamilioni ya Tanzania shillings hawajashushwa.

Kuna technicians, TX operators, sound engineers akiwemo Tudd Thomas.
Imelipwa pesa nyingi hadi DSTV kuirusha Wasafi tv Africa nzima hakuna TV ya Tanzania inayoonekana Africa nzima zaidi yake.

Sponsors wanazidi kuongezeka na ndio wanaofanyaga media ziendelee.
Alafu nakukumbusha tu Wasafi tv na FM bado hata hazijakamilisha safu za vipindi vyake stay tune kwa habari za kushangaza
 
Back
Top Bottom