Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana.

Na wale wanaoacha nyonyo nje? Na ukipiga jicho anaanza kuhangaika kuziba kwa kiganja, mi uwa najua lengo lao ni tusafishe macho
Umesema ukweli mkuu, na hao wenye tabia za kuacha nyonyo wazi hasa katika ya kifua wanazingua sana.

Sijui wakizifunika huwa wanapungukiwa nini...
 
Ni lini wanawake mtabadilika..

Hii tabia inakera japo inatushushia stress..
 
Halafu utakuta wanamshanga nakumponda muweka kata K...

Utasikia sipendi mwanaume sharobaro asijue sharobaro na mvaa vimini Ni pipa na mfuniko
 
Mkuu ukianza kufuatilia akili za wanawake utachanganyikiwa.
WE waache tu.

Sometimes hata wao wenyewe huwa wanajishangaa wakoje.
yaan mm niko tofauti kama ni kimini bas ata upepo urushe skirt inifunike usoni ntairudisha tena taratibu bila kushtuka ni kama nafunga kamba za viatu..ila natembeaga na kanga mana zipu hazikawii kuachia.
 
Na sijapanda daladala muda nione uumbaji
Panda mkuu utaona mwenyewe.

Mfano leo nilipanda daladala niliona wanawake wawili wameachia mapaja wazi baada ya nguo walizovaa kuvutika nyuma pindi walipokaa. Cha ajabu walikuwa comfortable.

Mmoja alikuwa mmama mkubwa tu ila huyu angalau aliweka mzigo wake mapajani ukafunika kidogo.

Mwingine alikuwa wa rika la kawaida, kwa makadirio hakuzidi 28. Huyu ndio alikuwa hana habari kabisa na uwazi kwenye mapaja halafu yalikuwa ya kawaida(hayajanona), yeye alikiwa busy na kuchati tu.
 
Kichwa cha uzi kinajieleza.

Huu mtindo wa wanawake hasa wanaoishi mjini wa kuvaa nguo/sketi fupi zinazoishia magotini au juu ya magoti halafu wakiwa wanatembea utawaona wanajishika shika hiyo sketi fupi na kuivuta chini ili ifunike vizuri magoti ilihali ni fupi na mwenyewe anajua ni fupi jambo ambalo anajua kabisa haliwezekani ila anafanya tu ama kwa kuona aibu akiangaliwa/akikudolewa macho na mtu mwingine hasa wanaume, mnakera sanaaa.

Mwanamke aliyevaa hiyo sketi fupi akitaka kukaa, sketi inajivua na kurudi nyuma huku ikiacha sehemu yote ya magoti ikiwa wazi hadi mapajani na hapo utamuona anachukua kamkoba kake alichokuwa nacho na kukiweka mapajani hasa kwenye sehemu anayoona iko wazi ili afunike, mnajisumbua na kuhangaika hivyo ilihali unauwezo wa kuvaa nguo zenye kukusitiri vizuri, mnakera sanaaa, mtapata tabu sanaaa maana wanaume rijali lazima wapige chabo kwa kwenda mbeleee

Wengine unakuta hawajafunga kufuli halafu anajisahau anapokaa ama akiwa anapiga stori na mwenzio au akiwa busy kuperuzi hapa JF kufuatilia habari za hapa na pale ama MMU au ana chit-chatika, ukipiga jiko hadi unaona aibu, mnakera sanaa, mtapata taabu sana kupigwa chaboo na marijali.

Badilikeni bana, vaeni nguo za heshima zenye kusitiri mwili vizuri ili iwe kioo kwenye jamii na kukuza maadili mema hasa kwa watoto wadogo ambao wanakua maana mtoto anatabia kuiga kitu/tabia anayoina na kuifuta kadri anavyoendelea kukua.
Tabu wapate wao, kukereka ukereke wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom