Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana.

Na wale wanaoacha nyonyo nje? Na ukipiga jicho anaanza kuhangaika kuziba kwa kiganja, mi uwa najua lengo lao ni tusafishe macho
 
Daaah nilikua bush mda kidogo sasa ni kama mwezi natembea town juzi kati naingia bank flani nakutana na mabinti wakutosha hizo nguo fupi ndio habari yenyewe, nimekaa siti za mbele kidogo yupo binti amevaa kakimini kake na ndio hivyo tena mungu kamjaalia nabaki kuona nusu ikulu, baasi tena ndo nikaishia hivyohivyo.
 
Acha tu, labda wanawake wamezidi, nasi hatutongozi...
103fde18a807c68cfaafcd426f96f1ea.jpg
mini.JPG
images.jpg
images1.jpg
 
Mimi huwa sipati majibu juu ya mwanamke kuvaa kigauni kisichofunika magoti na kuendesha gari. Akikaa ndani ya gari mapaja yanakuwa nje.

Wadada mnisaidie hapo kuondoa uyungiyungi nilionao
 
A woman's dress should be like a barbed wire fence, serving its purpose without obstructing the view

Wanawake naomba mumpuuze mleta uzi , endeleeni kuvaa jinsi mnavojisikia kuwa inafaa.
 
Kichwa cha uzi kinajieleza.

Huu mtindo wa wanawake hasa wanaoishi mjini wa kuvaa nguo/sketi fupi zinazoishia magotini au juu ya magoti halafu wakiwa wanatembea utawaona wanajishika shika hiyo sketi fupi na kuivuta chini ili ifunike vizuri magoti ilihali ni fupi na mwenyewe anajua ni fupi jambo ambalo anajua kabisa haliwezekani ila anafanya tu ama kwa kuona aibu akiangaliwa/akikudolewa macho na mtu mwingine hasa wanaume, mnakera sanaaa.

Mwanamke aliyevaa hiyo sketi fupi akitaka kukaa, sketi inajivua na kurudi nyuma huku ikiacha sehemu yote ya magoti ikiwa wazi hadi mapajani na hapo utamuona anachukua kamkoba kake alichokuwa nacho na kukiweka mapajani hasa kwenye sehemu anayoona iko wazi ili afunike, mnajisumbua na kuhangaika hivyo ilihali unauwezo wa kuvaa nguo zenye kukusitiri vizuri, mnakera sanaaa, mtapata tabu sanaaa maana wanaume rijali lazima wapige chabo kwa kwenda mbeleee

Wengine unakuta hawajafunga kufuli halafu anajisahau anapokaa ama akiwa anapiga stori na mwenzio au akiwa busy kuperuzi hapa JF kufuatilia habari za hapa na pale ama MMU au ana chit-chatika, ukipiga jiko hadi unaona aibu, mnakera sanaa, mtapata taabu sana kupigwa chaboo na marijali.

Badilikeni bana, vaeni nguo za heshima zenye kusitiri mwili vizuri ili iwe kioo kwenye jamii na kukuza maadili mema hasa kwa watoto wadogo ambao wanakua maana mtoto anatabia kuiga kitu/tabia anayoina na kuifuta kadri anavyoendelea kukua.
Kapicha boss, wengine habari bila picha huwa inapoteza mvuto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom