Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana.

Mimi zamani walinipa shida sana, kila nikiona mwanamke kavaa kinguo kifipi moyo unalipuka,lakini siku hizi nimeshazoea hata siwaangalii tena...
 
Zamani kipindi nguo hazijaja walikua wanavaa nguonzinafunika maziwa yao na sehemu yao ya chini.. Na walikua hawana wasiwasi kabisa lakini sasa hivi mnawaona kama wanawaiga wazungu.. Tanzania bhana
 
Ngoja nimpe link ili asome huu uzi, maana hili jambo lishatuletea mgogoro kila asubuhi anapoenda kazini....
 
Daaah nilikua bush mda kidogo sasa ni kama mwezi natembea town juzi kati naingia bank flani nakutana na mabinti wakutosha hizo nguo fupi ndio habari yenyewe, nimekaa siti za mbele kidogo yupo binti amevaa kakimini kake na ndio hivyo tena mungu kamjaalia nabaki kuona nusu ikulu, baasi tena ndo nikaishia hivyohivyo.
Wanatufanya tuzoee kuangalia hayo mambo na kupoteza hisia, ndio maana tukiwazoea tunaona kama ni kitu cha kawaida na tunakosa kusisimuka kwa haraka
 
Mkuu wanashindwa kuelewa jinsi wenzao wanavyokaa hasa wazungu wanavaa nguo fupi then wakikaa wanakunja nne na kubana miguu ila kwa wabongo hawajui hiyo kitu.
 
Kuanza nimeacha kufuatilia mambo ya wanawake sasa hivi akili yangu imetulia na nina afya teleeeeeeeeeeeeee,jasho jeupe linatoka maana mwili hauna stress,kabla ya hapo nilikuwa natokwa na jasho la rangi nisizozielewa maana lilikuwa linatoka kwenye mwili ulikuwa na stess,hasira kali,sasa mambo muruuuuuuuuaaaa
 
Mkuu wanashindwa kuelewa jinsi wenzao wanavyokaa hasa wazungu wanavaa nguo fupi then wakikaa wanakunja nne na kubana miguu ila kwa wabongo hawajui hiyo kitu.
Tatizo wanadandia gari kwa mbele, watapata taabu sana....
 

Similar Discussions

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom