Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana.

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,181
2,000
Na wale wanaoacha nyonyo nje? Na ukipiga jicho anaanza kuhangaika kuziba kwa kiganja, mi uwa najua lengo lao ni tusafishe macho
Umesema ukweli mkuu, na hao wenye tabia za kuacha nyonyo wazi hasa katika ya kifua wanazingua sana.

Sijui wakizifunika huwa wanapungukiwa nini...
 

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,181
2,000
Ni lini wanawake mtabadilika..

Hii tabia inakera japo inatushushia stress..
 

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
3,162
2,000
Halafu utakuta wanamshanga nakumponda muweka kata K...

Utasikia sipendi mwanaume sharobaro asijue sharobaro na mvaa vimini Ni pipa na mfuniko
 

doughter

JF-Expert Member
Jun 27, 2019
452
500
Mkuu ukianza kufuatilia akili za wanawake utachanganyikiwa.
WE waache tu.

Sometimes hata wao wenyewe huwa wanajishangaa wakoje.
yaan mm niko tofauti kama ni kimini bas ata upepo urushe skirt inifunike usoni ntairudisha tena taratibu bila kushtuka ni kama nafunga kamba za viatu..ila natembeaga na kanga mana zipu hazikawii kuachia.
 
Top Bottom