Hili suala la vijana wa kitanzania kuuwawa uarabuni, limekaaje?

reuben kombe

Member
Jul 8, 2016
53
54
Mnalichukuliaje suala la vijana wenzetu wanaouliwa na kunyanyaswa huko nchi za watu kama vile arabuni?
Ebu tujadili tuone suluhu yake ni nini!!!!?
IMG-20170401-WA0003.jpg
 
Kuna videos za kizalilishaji sana zipo mitandaoni zinaumiza sana, mfano huyo binti kilichokuta ukiona video utalia machozi
 
ngoja wamalize kunyosha nchi hayo mengine baadae!
r.i.p husna
 
Back
Top Bottom