yangoma Member Sep 1, 2011 72 2 Sep 21, 2011 #1 hili sofa limetulia mwenye kujua yanapouzwa anijulishe nataka seti
K kashwagala Senior Member Mar 10, 2010 116 17 Sep 21, 2011 #3 Mkuu mbona Kitunda kule kwa wakulya yamejaa tu..
yangoma Member Sep 1, 2011 72 2 Sep 21, 2011 Thread starter #4 Preta said: Vince anajua....ngoja aje.... Click to expand... na wewe kwa kumtegemea vince mpaka lini ina maana hupajui kabisa
Preta said: Vince anajua....ngoja aje.... Click to expand... na wewe kwa kumtegemea vince mpaka lini ina maana hupajui kabisa
yangoma Member Sep 1, 2011 72 2 Sep 21, 2011 Thread starter #5 kashwagala said: Mkuu mbona Kitunda kule kwa wakulya yamejaa tu.. Click to expand... mmmm pande zipi kwa pale
kashwagala said: Mkuu mbona Kitunda kule kwa wakulya yamejaa tu.. Click to expand... mmmm pande zipi kwa pale
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Sep 21, 2011 #6 KIBAHA MBELE YA NJUWENI HOTELI!:mmph:
pascaldaudi JF-Expert Member Mar 25, 2009 534 96 Sep 21, 2011 #12 kashwagala said: Mkuu mbona Kitunda kule kwa wakulya yamejaa tu.. Click to expand... Wenzako wakirudi Ukuryani wanasema eti "Ni wanajeshi"
kashwagala said: Mkuu mbona Kitunda kule kwa wakulya yamejaa tu.. Click to expand... Wenzako wakirudi Ukuryani wanasema eti "Ni wanajeshi"
Enginier JF-Expert Member Nov 11, 2010 275 35 Sep 21, 2011 #13 Sijui yanapo uzwa lakin nione nikuuzie
K kijumo Member Sep 21, 2011 16 2 Sep 22, 2011 #14 Du! unaweza kuogopa kukaa ukadhani utavunja ma egg
K kinyongarangi Member May 4, 2011 67 16 Sep 23, 2011 #15 yapo mengi kure kitunda, kipunguni na nyantira
kuru Member Sep 22, 2011 30 11 Sep 23, 2011 #16 ndetichia said: kumbe ndio hili Click to expand... kama ya aina hii yanapatiakna kitundaaaaa! BUT PEOPLE ARE SO CREATIVE! Nampa pongezi alo design hivyo.
ndetichia said: kumbe ndio hili Click to expand... kama ya aina hii yanapatiakna kitundaaaaa! BUT PEOPLE ARE SO CREATIVE! Nampa pongezi alo design hivyo.
S SALOS Member Aug 27, 2011 26 4 Sep 23, 2011 #17 zuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaaaaaaaaaaaaaaana