Hili siyo gundu ni laana sasa!

Shukuru na achana na zinaa, sijawahi kuona mtu ambaye ameendekeza zinaa akawa na mwisho mzuri.
Mrudie Mungu omba toba tafuta mwanamke uoe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Zanaa imeknekana wapi kwenye mada kutongoza mwanamke Ni zinaa afadhari angeonesha amekubaliwa na mmoja anaenda kwa mwengine wote wamemkaa anaonesha anatafuta wakuwanae hiyo Ni zinaa
 
Nina rafiki yangu kila mwanamke anayenisumbua kwake anampata kirahisi sana. Mara ya kwanza nilipata mwanamke karibu na nyumbani kwake pale. Mwanamke huyo alinipenda, siku ambayo nilimkutanisha na jamaa yangu, huyo mwanamke akaanza kuomba sijui namba ya simu, mimi nikaona labda ushemeji. Baada ya siku kadha, nikasikia wanatoka. Nilipaniki sana ila mwisho nilipotezea.

Kuna mwanamke mwingine ambaye tulikuwa tunasoma naye, mwanamke huyo nilimtongoza, alinisumbua sana ila mwisho alikuja kukubali. Kuna siku nilikuwa naongea naye, huyo jamaa yangu akapita hapo. Mwanamke alikuwa kama amepagawa, akawa ananiuliza kama yule ni rafiki yangu, nikamwambia ndiyo, baada ya siku kadhaa nikasikia wanatoka tena!

Nilimfuata jamaa kwa hasira, ila alinipa mwishowe nilikubali matokeo tu. Kuna mwanamke mwingine nilikuwa kwenye harakati za kutaka kumtongoza, jamaa akasema yeye tayari ameshaongea na amesha kubali, nikabaki na shangaa sasa.

Ila huyu wa mwisho nasema na liwalo na liwe, sikubali tena kuwa kinyonge. Kuna mwanamke tunafanya naye kazi, sasa mwanamke huyo kwasasa nina miezi mitatu namfukuzia, bado mtoto wa kike ajatoa jibu kamili.

Ila juzi yeye jamaa alikuwa amenifata kazini kwetu. Kwa bahati mbaya akakutana na mwanamke anatoka ndani ya kazi, mimi nilikuwa bado nipo ndani. Jamaa alivyomuona mwanamke huyo akamuomba namba zake za simu na tayari ameshapewa.

Ila mimi nina miezi mitatu sina namba yake, najaribu kuomba lakini mtoto wa kike anakataa. Yeye amepewa kirahisi sana. Sijamwambia kama yule ni mwanamke ambaye mimi namfukuzia, ila yeye ndiyo ameniambia kuwa pale kazini kwetu kuna mwanamke tayari yupo kwenye anga zake, alikutana naye kazini kwetu pale.

Na ninavyojua atakuwa ni yeye tu, hakuna mwingine. Pamoja na kubisha najua ni lazima jamaa atatafuna tu. Mimi kinachonipa msongo wa mawazo ni kujiuliza jamaa yeye ana damu ya namna gani mpaka apendwe na wanawake wote wanaonisumbua?

Kimuonekano mimi mzuri kuliko yeye, sasa sijui shida nini hasa!
Unamaanisha nn kusema we ni mzur kuliko yeye
He's simply masculine, jamaa amekaa kiume zaidi kukuliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa anatumia dawa yaani kachanjia dawa inaitwa Kalilio hataree hii kitu wengi hawaijui. Kuna mti flani special ambao siwezi kuutaja humu hivi unawekwa kwenye udongo kaburi ambalo maiti imezikwa karibuni kwa siku tatu au Saba halafu unakuja unatoa unatwanga huo mti then unakuja kuchanjia na asali hakuna mwanamke atakaye kukataa yaani watakuwa wanakuona wewe ni asali Wanakulilia
Huyo rafiki yako kachanjia brother
Uchawi upo
 
Atakuwa anatumia dawa yaani kachanjia dawa inaitwa Kalilio hataree hii kitu wengi hawaijui. Kuna mtu flani hivi unawekwa kwenye udongo kaburi ambalo maiti imezikwa karibuni kwa siku tatu au Saba halafu unakuja unatoa unatwanga huo mti then unakuja kuchanjia na asali hakuna mwanamke atakaye kukataa yaani watakuwa wanakuona wewe ni asali Wanakulilia
Huyo rafiki yako kachanjia brother
Uchawi upo
Hayaa toa namba za simu sasa..hatutak kuja piemu
 
Nina rafiki yangu kila mwanamke anayenisumbua kwake anampata kirahisi sana. Mara ya kwanza nilipata mwanamke karibu na nyumbani kwake pale. Mwanamke huyo alinipenda, siku ambayo nilimkutanisha na jamaa yangu, huyo mwanamke akaanza kuomba sijui namba ya simu, mimi nikaona labda ushemeji. Baada ya siku kadha, nikasikia wanatoka. Nilipaniki sana ila mwisho nilipotezea.

Kuna mwanamke mwingine ambaye tulikuwa tunasoma naye, mwanamke huyo nilimtongoza, alinisumbua sana ila mwisho alikuja kukubali. Kuna siku nilikuwa naongea naye, huyo jamaa yangu akapita hapo. Mwanamke alikuwa kama amepagawa, akawa ananiuliza kama yule ni rafiki yangu, nikamwambia ndiyo, baada ya siku kadhaa nikasikia wanatoka tena!

Nilimfuata jamaa kwa hasira, ila alinipa mwishowe nilikubali matokeo tu. Kuna mwanamke mwingine nilikuwa kwenye harakati za kutaka kumtongoza, jamaa akasema yeye tayari ameshaongea na amesha kubali, nikabaki na shangaa sasa.

Ila huyu wa mwisho nasema na liwalo na liwe, sikubali tena kuwa kinyonge. Kuna mwanamke tunafanya naye kazi, sasa mwanamke huyo kwasasa nina miezi mitatu namfukuzia, bado mtoto wa kike ajatoa jibu kamili.

Ila juzi yeye jamaa alikuwa amenifata kazini kwetu. Kwa bahati mbaya akakutana na mwanamke anatoka ndani ya kazi, mimi nilikuwa bado nipo ndani. Jamaa alivyomuona mwanamke huyo akamuomba namba zake za simu na tayari ameshapewa.

Ila mimi nina miezi mitatu sina namba yake, najaribu kuomba lakini mtoto wa kike anakataa. Yeye amepewa kirahisi sana. Sijamwambia kama yule ni mwanamke ambaye mimi namfukuzia, ila yeye ndiyo ameniambia kuwa pale kazini kwetu kuna mwanamke tayari yupo kwenye anga zake, alikutana naye kazini kwetu pale.

Na ninavyojua atakuwa ni yeye tu, hakuna mwingine. Pamoja na kubisha najua ni lazima jamaa atatafuna tu. Mimi kinachonipa msongo wa mawazo ni kujiuliza jamaa yeye ana damu ya namna gani mpaka apendwe na wanawake wote wanaonisumbua?

Kimuonekano mimi mzuri kuliko yeye, sasa sijui shida nini hasa!
Pitia hapa kuna kitu utapata
 
Pita na hapa usipopata msaada inabidi uje PM tuzungumze namna ya kukusaidia.
NB: Nitahitaji malipo.
 
"Wewe ni mzuri kuliko yeye" kwani wewe ni wa kike au ndio akili zangu za usingizi?
 
Atakuwa anatumia dawa yaani kachanjia dawa inaitwa Kalilio hataree hii kitu wengi hawaijui. Kuna mti flani special ambao siwezi kuutaja humu hivi unawekwa kwenye udongo kaburi ambalo maiti imezikwa karibuni kwa siku tatu au Saba halafu unakuja unatoa unatwanga huo mti then unakuja kuchanjia na asali hakuna mwanamke atakaye kukataa yaani watakuwa wanakuona wewe ni asali Wanakulilia
Huyo rafiki yako kachanjia brother
Uchawi upo
Taratibu mjomba unapoelekea tushapajua!
 
sikia achan na huyo rafiki au ama mtaa 😁😁 we hauna laana wala gundu tatiz lako hauna pesa tu
 
Atakuwa anatumia dawa yaani kachanjia dawa inaitwa Kalilio hataree hii kitu wengi hawaijui. Kuna mti flani special ambao siwezi kuutaja humu hivi unawekwa kwenye udongo kaburi ambalo maiti imezikwa karibuni kwa siku tatu au Saba halafu unakuja unatoa unatwanga huo mti then unakuja kuchanjia na asali hakuna mwanamke atakaye kukataa yaani watakuwa wanakuona wewe ni asali Wanakulilia
Huyo rafiki yako kachanjia brother
Uchawi upo
Mbele kuna tuta boss👍
 
Nina rafiki yangu kila mwanamke anayenisumbua kwake anampata kirahisi sana. Mara ya kwanza nilipata mwanamke karibu na nyumbani kwake pale. Mwanamke huyo alinipenda, siku ambayo nilimkutanisha na jamaa yangu, huyo mwanamke akaanza kuomba sijui namba ya simu, mimi nikaona labda ushemeji. Baada ya siku kadha, nikasikia wanatoka. Nilipaniki sana ila mwisho nilipotezea.
Ww una manga manga tu hauko wazi kufunguka, wanaume wanawatawala wanawake wewe unawawezesha. Hakuna mwanaume mzuri anapata mwanamke be bad boy cheza nao fasta tu unakula.
 
Back
Top Bottom