Hili sio Bunge bali ni 'genge la watafuna kodi za wananchi'

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao

Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi ambao lilituma wawawakilishi wao alafu hao wawakilishi wanaenda Bungeni kama wamevaa nguo za disko na kisha kuvuta posho bila hata kutetea maslahi yao, basi hapo ni hasara

Kwamba kunakuwa kunakuwa na wabunge ambao bila hata aibu wanamchangia mwenzao ili akafanye vurugu kwenye msiba wa mchepuko.

Kwa ufupi wananchi hawana Bunge la kuwatetea. Bali kuna genge la watafuna kodi za wananchi.
 
Back
Top Bottom