Hili si sahihi

firstone

Member
Nov 18, 2010
13
1
Wadau leo asubuhi nimesikia kwenye radio baadhi ya wanafunzi wa sekondari moja ya kata wamekamatwa kwa makosa ya kuchoma nyumba ya mwalimu, kweli wanafunzi wa siku hizi wanathamini elimu???????
 
Wamechoma katika mazingira gani. Inawezekana ilikuwa bahati mbaya. Funguka tuelewe issue kwa mapana kabla hatujawalaumu vijana.
 
Back
Top Bottom