Hivi inawezekanaje katika nchi ambayo watu wanalipa kodi na Taasisi ambayo ipo kwa ajili ya kuhudumia wananchi gharama za kuhakiki uhalali wa vyeti ziwe kubwa kiasi hicho?
TCU wanahakiki vyeti vya nje. Kwa Postgraduate ni Tsh 150,000 na undergraduate ni TShs 100,000. Kuna sababu ipi kuwalipisha watu gharama hizi? Huo uhakiki unafanyika vipi? Kupata police loss report ni TShs 500, halafu Taasisi nyingine ya Serikali inatoza gharama kubwa kiasi hiki. Kuna vijana wanatafuta ajira na hata hizo shule za nje wamepata kwa ufadhili, ni nini kinachofanya Taasisi ya Serikali kutoza gharama hii.
Ni kweli mnahitaji Mheshimiwa Rais aliongelee hili? CAG pia aangalie na makusanyo haya na wabunge shaurini uhalali wa Tozo hii maana ni karibu sawa na visa ya Utalii.