Hili sasa laweza kuwa tatizo la kitaifa,tulitafutie tiba.

katiba mpya italeta mengi i.e. the rule of law and tight enforcements!!
kama huku US ukitembea na minor (under 18) na ukashikwa basi umekwisha watakulima na sex with a minor, manake utaingizwa katka national register yenye list of sex offendors, which means u are just fu.cked up and done. Huwezi kupata kazi, apartment, nyumba, etc.
Ndio maana wanaokataa katiba mpya wana mapungufu ya akili
 
Sawasawa Mkuu hili nalo naona itabidi liingizwe kwenye katiba mpya.
 
paka mweusi hii kitu imenishtua na kuniumiza sanaaa,cna la kusema kwa sasa.

Mwanzoni hata mimi nilifikiria ni utani tu wanavyoongelea haya mambo,lakini baada ya kusikia habari hii nikaona kumbe hii ishu iko serious kiasi hiki?Kwa kweli hata mimi nilikasirika sana.
 
hilo ni pendekezo zuri sana, maana tz hata vitoto ni ngono tu, duh
katiba mpya italeta mengi i.e. the rule of law and tight enforcements!!
kama huku US ukitembea na minor (under 18) na ukashikwa basi umekwisha watakulima na sex with a minor, manake utaingizwa katka national register yenye list of sex offendors, which means u are just fu.cked up and done. Huwezi kupata kazi, apartment, nyumba, etc.
Ndio maana wanaokataa katiba mpya wana mapungufu ya akili
 
yaani huku ndio saa sita na dk 35 za usiku. yaani usiku wa manane.

Aisee pole sana, sie ndo tumetoka lunch kwa kweli,
Bado namuomba Mungu atuongoze kuomba sawasawa ili atupe majibu ya matatizo haya jamani.

Halafu Paka Mweusi bwana, huwa anasema sana ukweli unaohuzunisha. Ona sasa hata kazi haiendi,
Nalia tu, natubu kwa ajili ya jamaa yake Paka na wengine wanaofanya mambo kama haya.
 
maombi ya kitaifa.
mbona kila wakati huwa yanaombwa lakini maasi ndio yanazidi, tena wakati mwingine utakuta huko huko kwenye maombi ndio wtu wa geti hutumia hiyo chance kupanga kukutana na wenzi wao. Kwa kweli kinahitajika kitu zaidi ya maombi jamani. maoni yangu ni kila mtu abadilike na kuamini ya kuwa Mungu yupo na anatuona kwa kila tukifanyacho hata kama ni kwa siri, hivyo ni ngumu sana kuona ufalme wake kwa dhambi hizi tunazozitenda.
 
mwanzoni hata mimi nilifikiria ni utani tu wanavyoongelea haya mambo,lakini baada ya kusikia habari hii nikaona kumbe hii ishu iko serious kiasi hiki?kwa kweli hata mimi nilikasirika sana.

dah,tuwafiche wapi watoto wetu jamani! Mbona inatukatisha tamaa sana. Inabidi tumwombe mungu sana usiku na mchana kwani sasa its too much! Udhalimu huu umepitiliza
 
aisee pole sana, sie ndo tumetoka lunch kwa kweli,
bado namuomba mungu atuongoze kuomba sawasawa ili atupe majibu ya matatizo haya jamani.

Halafu paka mweusi bwana, huwa anasema sana ukweli unaohuzunisha. Ona sasa hata kazi haindi,
nalia tu, natubu kwa ajili ya jamaa yake paka na wengine wanaofanya mambo kama haya.

mimi imenigusa vibaya mno,moyo wangu umepata kidonda cna hata hamu ya kula kabisa. Tuzidi kumwomba mungu tena sanaaa.
 
kwa kweli kama habari hii i ya kweli, ni ya kusikitisha sana. lakini soluton ni kila mmoja kushika sana alichonacho kwanza ili asije muovu akakiondosha, na kisha tusiache kueneza habari njema kwa kila kiumbe ili aaminiye aokoke na asiyeamini anaanza kupata hukumu yake hapahapa duniani hadi atakapoamini na kumrudia Mungu ndiyo dhambi zake zinageuzwa kuwa nyeupe kuliko theluji. nawatakia tafakari njema
 
Lakini jamani labda tu niulize,haya mambo ya TiGo haya yalitokaga wapi jamani?Hivi hata kwa wale waliokua kwenye miaka ya 60s nao waliexperience hii kitu au ni wanadamu wa leo tu?
 
its a paining truth, mimi mwenyewe ni mpinzani sana wa mapenzi ya kinyume cha maumbile

Mytake
Maombi kumwomba Mungu atunusuru na balaa hili ndio njia pekee
 
Aisee pole sana, sie ndo tumetoka lunch kwa kweli,
Bado namuomba Mungu atuongoze kuomba sawasawa ili atupe majibu ya matatizo haya jamani.

Halafu Paka Mweusi bwana, huwa anasema sana ukweli unaohuzunisha. Ona sasa hata kazi haiendi,
Nalia tu, natubu kwa ajili ya jamaa yake Paka na wengine wanaofanya mambo kama haya.

Asante sana mama kwa toba kwa ajili ya wakosefu.Watu kama nyie ndio mnaoifanya dunia iendelee kuwepo mpaka dakika hii,vinginevyo tungeshateketezwa. Kumbuka habari za Luthu na watu wa Sodoma na Gomora,Abraham alianzia watu 50 na akashuka mpaka kufikia watano na malaika wakasema kama kuna watu watano wenye haki basi hatutateketeza.Lakini hakukuwa na hata hao watano,alikuwepo Luthu peke yake na ndiye aliyeponywa pamoja na familia yake.Kwa hiyo watu kama nyie ndio inabidi mshukuriwe kwa kuifanya Dunia iendelee kuwepo.
 
Back
Top Bottom