Hili pia linaweza kusaidia kupunguza gharama za matumizi ya fedha za serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili pia linaweza kusaidia kupunguza gharama za matumizi ya fedha za serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chobu, Jun 28, 2011.

 1. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hili ni jambo la muhimu sana kwa serikali kulifanyia mabadiliko ya haraka ili kupunguza gharama za matumizi ya fedha za serikali; baadhi ya viongozi ambao wamepewa magari na madereva wa kuwahudumia wanasababisha upotevu wa fedha za serikali kutumika pasipo sababu za msingi; ambapo wangeweza kuzuia. Na hili limo kabisa ndani ya uwezo wao mfano; kiongozi anaishi bahari beach, halafu dereva wake anaishi mbagala; dereva huyo ni lazima asubuhi sana awahi kumchukua boss wake amuwahishe kazini. Imagine dereva huyo atatoka saa ngapi kwake mbagala hadi bahari beach? Ni mafuta kiasi gani yatatumika? Hivi kweli hakuna mbadala? Kwanini kiongozi kama huyo asipewe dereva anayeishi angalau karibu na maeneo yake ili kupunguza gharama za mafuta? Ninashauri wahusika mliangalie hili kwa makini sana na hatimaye mlipatie ufumbuzi.
   
 2. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  naunga mkono hoja. Hapo mie nakolezea kwa kusema kila aliyepewa gari ajiendeshe mwenyewe, ili kupunguza hiyo pesa. kama ni dereva aajiliwe wizarani na sio kumuendesha mtu anayeweza kujiendesha mwenyewe. wala hakuna sababu yoyote ya msingi ya waziri au mtu yeyote kuendeshwa. Mwenye hoja ya msingi kuwa kwanini waendeshwe anijuze. hapa ofisini kwetu CEO aliyekuwepo mzungu alikuwa anaendeshwa mara alivyoondoka akaingia mwafrika alikataa na akawa anajiendesha mwenyewe.
   
Loading...