Hili nundu alifanyaje?

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Makamba2%286%29.jpg
 
wakati nikiwa mdogo nilikuwa nambiwa watu wenye nundu hivyo usiku huwa wanageuka wanyama wenye pembe moja.......sasa sijui kama inahuuu
 
Makamba2(6).jpg


Ni laana ya kuchungulia wazee alivyokuwa mtoto, sasa inaanza kuchomokea kwenye paji la uso wake
 
Nilimsikia dokta mmoja akisema huo ni ubongo. Ndio maana yuko fyatu na hawezi kutoa hiyo nundu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom