Hili nundu alifanyaje?

Kashonewa hirizi ndani ya kanundu, akikaelekezea kwako lazima utalegea mwili mzima
 
Wenye ngeu za hivyo nasikia ni walopokaji wazuri, huwa hawana muda wa kutafakari yeye ninalosogea kinywani linatoka, eti hata watoto wao huwa na mwanya na lazima wawatafutie kazi nzuri hata kama elimu si bora sana
 
Hata mimi nashangaa alikuwa hana kabisa. Nilishawahi kusikia kuwa mtu mwenye nundu ya namna hiyo si usoni tu hata wengine wanakuwa nayo mkononi au sehemu yoyote ya mwili, hiyo ni hirizi...............kuna mmoja namfahamu yenye anayo kiganjani!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Seriously, yaani watu wamekaa hapa kujadili nundu ya Ma-rope??!!!!!!!!!! Du kweli JF kiboko
 
wakati nikiwa mdogo nilikuwa nambiwa watu wenye nundu hivyo usiku huwa wanageuka wanyama wenye pembe moja.......sasa sijui kama inahuuu
Hahahah mi nadhani ınahusu bibie kwani kwa tabia na akili za huo mmiliki wa nundu kwa kweli nashindwa kukupinga.
 
Hiyo nundu ni baada ya kupata kipondo alipofumaniwa akibaka alipokuwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi kule.......................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom