Hili ni tukio la kupangwa kuondoa utulivu nchini kwa lengo maalum

wakatanta

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
2,593
3,148
Nimeangalia clip ya jamaa anaeitwa Daniel Maleki, anaedaiwa kachana kitabu cha Quran mkoani morogoro imenishangaza sana na kunistajabisha

Kama ni kweli imethibitika alichokichana na kutemea mate ni kitabu cha Quran tukufu , basi huu ni mpango mkakati wa uchokozi wa makusudi kabisa wenye lengo la kuleta mtafaruku mkubwa sana wa kiimani kuelekea uchaguzi mkuu wa urais ,ubunge na udiwani hapo 2020 October ,tukio hili ni la hatari sana,

Lengo ni moja tu ,kutafuta attention ya jumuiya ya kimataifa kupata kisingizio cha intervention vurugu zitakopotokea ,ionekane serikali imeshindwa kutunza amani ,na hili linainjiniwa na baadhi ya watanzania wenzetu kwa ustadi wa hali ya juu sana.

Nivisihi vyombo vya ulinzi na usalama kuwa makini na viashiria vya namna hii,

Assume hapo waislamu wange -react ingekuwaje?,uharibifu wa mali , damu nyingi ingemwagika kukiambatana na uhalibifu wa nyumba za ibada ,na si afya kwa utaifa wetu.
Niwapongeze waislamu kwa utulivu walionyesha dhidi ya dhihaka hii.

Tulinde amani ya nchi yetu kwa pamoja ,amani ndio msingi wa maendeleo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza sijakashifu imani ya dini yoyote wala sijampoint mtu bali nnimetahadhalisha madhara ya kitendo alicho kifanya Daniel Maleki kwa jamii.
Kunishambulia ni kunikosea.
Tukemee haya matendo kwa nguvu zetu zote hayafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi imani za kidini, dini zenyewe za kuletwa na majahazi zitatufikisha pabaya sana!
 
Mtu anayeweza kugombana hadi kuuana kwa sababu ya mambo ya imani mambo ya kusadikika tu huyo ni mpumbavu kwangu hata ukinyea biblia ni wewe na laana zako
 
Laanatullahi nyerere hakujenga, bali alibomoa kwa kupanda huo mti CCM ambao sasa matunda yameanza kujitokeza.

By their fruits you will recognise them
Wanataka kusema eti ametumwa na upinzani CCM wameishiwa kabisa.
 
Nimeangalia clip ya jamaa anaeitwa Daniel Maleki, anaedaiwa kachana kitabu cha Quran mkoani morogoro imenishangaza sana na kunistajabisha

Kama ni kweli imethibitika alichokichana na kutemea mate ni kitabu cha Quran tukufu , basi huu ni mpango mkakati wa uchokozi wa makusudi kabisa wenye lengo la kuleta mtafaruku mkubwa sana wa kiimani kuelekea uchaguzi mkuu wa urais ,ubunge na udiwani hapo 2020 October tukio hili ni la hatari sana,

Lengo ni moja tu ,kutafuta attention ya jumuiya ya kimataifa kupata kisingizio cha intervention vurugu zitakopotokea ,ionekane serikali imeshindwa kutunza amani ,na hili linainjiniwa na baadhi ya watanzania wenzetu kwa ustadi wa hali ya juu sana.

Nivisihi vyombo vya ulinzi na usalama kuwa makini na viashiria vya namna hii,

Assume hapo waislamu wange -react ingekuwaje?,uharibifu wa mali , damu nyingi ingemwagika kukiambatana na uhalibifu wa nyumba za ibada ,na si afya wa utaifa wetu.
Niwapongeze waislamu kwa utulivi walionyesha dhidi ya dhihaka hii.

Tulinde amani ya nchi yetu kwa pamoja ,amani ndio msingi wa maendeleo yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga kwani koran si ni kitabu kama vitabu vingine chenye karatasi zinazochanika?Ni uendawaziu kufikiria kuanzisha vurugu kwa kitu kidogo cha kijinga
 
Yani watu wachome nyumba za ibada, wamwage damu za watu mengine kisa MTU kachoma kitabu? Nani kakwambia Mungu anataka damu za watu zimwagike? Au nani kawambia hata msamehe huyo MTU? Hebu acheni kumsingizia Mungu, wanaomwaga damu za watu kwa kisingizio cha kumtetetea mungu, basi hawamjui hata Mungu anasimamia nini!
 
Acha ujinga kwani koran si ni kitabu kama vitabu vingine chenye karatasi zinazochanika?Ni uendawaziu kufikiria kuanzisha vurugu kwa kitu kidogo cha kijinga
Hahaha, kwamba hata chenyewe kina uwezo wa kuchanika!
 
Watanzania mmetawaliwa na siasa kwenye mibichwa yenu. Kila kitu unaunganisha na siasa.
simba kufungwa nayo kuna mafala wengine pia wanadai ni kuwatoa watu kwenye reli.
 
Back
Top Bottom