Hili ni tatizo la Kikwete Family au uvivu binafs? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili ni tatizo la Kikwete Family au uvivu binafs?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, May 9, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi wenzangu.
  Nimekutana na hii picha mtandaoni, nikajaribu kuiangalia kwa makini nikakuta kuna makosa fulani hasa kwenye huo mfano wa hundi ambayo Mama wa Kwanza (Salma Kikwete) alikabidhi kwa Saccos Mkuranga (Maelezo ya kiasi husika yanatofautiana na tarakimu).

  Sina hakika kama yeye alijua kuwa kuna makosa katika huo mfano wa hundi. Kitu ninachojiuliza, je haya ni matatizo ya familia ya Kikwete kutopitia vitu ambavyo wanatakiwa kusoma kabla ya kuidhinisha au ni uvivu binafsi.

  Mh. JK naye aliwahi kukumbwa na hivu vitu mara kadhaa, anasaini documents bila kusoma ni nini.
  Huu ni ugonjwa wa kifamilia au uvivu binafsi wa kutotaka kuchukuwa muda kidogo kusoma na kujua kilichomo?

  Maoni yanakaribishwa.

  [​IMG]
   
 2. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  MOD.
  Nitashukuru kama utaihamisha hii thread maana tayari ilishawekwa hapa na memba mwingine.
  Natanguliza shukrani.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  hilo ni pepo la umbumbu linawasumbua
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi tufanyeje ili tuwe na viongozi intelligent?mbona nchi zingine wanaweza?inawezekana kuwa na viongozi ambao familia haingiliani na kazi ya kiongozi kama ya nyerere?shit!
   
 5. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  tarakimu na maneno hayakuwiana...kwa tarakimu ni 380,000 wakati kwa maneno ni 3,800,000. Huyu mama ni Teacher by prof. :happy:
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kazi huko kwao ikulu
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  duuuh kazi wanayo baba mtu nae leo hvohvo...............
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Hivi na hiyo SACCOS inayoitwa Mama Salma Kikwete Saccos ni ya Salma au jina tu?
   
 9. s

  sawabho JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hapa Mama Salma hana kosa, ana mambo mengi ya kufanya na kwa maana hiyo anaweza asione kama hilo kosa. Lakini cha kujiuliza ni hao waliopewa dhamana ya kumsaidia ndio walipaswa kukagua kazi zake kabla hazijaenda kwenye jamii.
   
 10. s

  sawabho JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Vipi kuhusu wasaidizi wake nao hawakuliona hilo?
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Chakachua chakachua hiyo
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mimbumbumbu hii
   
 13. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo si huyo mama peke yake au wasaidizi wake. Hiyo ndiyo hali halisi ya jinsi watanzania tulivyo. Mtajiju!!!!
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Chakachua Chakachua.Com
   
 15. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  HII PICHA NI YA KUCHONGA,
  INAKUWAJE SALMA KIKWETE SACCOS, INALIPWA NA SALMa R KIKWETE( angalia signature kwenye cheque)? NO This is a cooked photo, na ni udhalilishaji wa First Lady
   
 16. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mangumbaro wote. kwani kama ni mkuu wa nchi au FL huwezi kuhakiki kitu tena chenye maandishi makubwa hivyo hata kukosoa hadharani wangeonekana wanamaana na wapo makini. IQ zao -11,000
   
Loading...