Hili ni tatizo gani? Nikimaliza kuoga nawashwa sana

Mimi pia kuna kipindi huwa inanitokea, hasa nikioga maji yanayotoka bombani muda huo huo.
Na kimbilio ni kupaka mafuta ndiyo ilikuwa inaacha.
Nilikuwa nawashwa uso, mikono na miguuni .
Ila nikioga maji niliyokinga na kuyaacha ,hali huwa haitokei.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Hao ni baadhi ya minyoo wa kwenye ngozi hata mimi iliwahi kunitokea kuna duka la smdawa nilienda yuke nesi akanipa na tayizo liliisha charrote,
 
Hivi wewe huoni kwamba kila mtu uchafu wa kibinafsi hatuko sawa. Kuna mwingine hata lotion na perfume gani aweke vijiharufu fulani lazima vitajitokeza.

Kuna mtu mmoja aliingia kwangu yeye ni msafi alipoondoka harufu fulani sio nzuri ilibaki ndani sebuleni. Sasa vipi taulo la huyo jamaa l. We acha tu huo uzi mwingine.

We taulo lipite kwapani huku katikati ya miguu n.k :inabidi kuwa mwangalifu kusema kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili tatizo inawezekana lipo serious. Watu wanaongezeka, hebu tuangalie na Mikoa inawezekana maji ya mkoa au mikoa fulani ni taatizo. Mf maji ya hapa Morogoro asilimia kubwa yapo contaminated na madini ya ulanga ingawa kwa % ndogo.,.hili nalo linaweza kuwa tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hichi kitatizo inawezekana kipo serious...watu wanaongezeka..eb tuangalie na mikoa inawwzekana maji ya mkoa au mikoa fulani ni ttzo..mf maji ya hapa moro asilimia kubwa yapo contaminated na madini ya ulanga ingawa kwa %ge ndogo.,.hili nalo linaweza kuwa tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, tutafute chanzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tangu utoto Hadi sasa ni Miaka zaidi ya 20+ lakini sijawahi kupona na nikijisugua kwa dodoki au jiwe ndo nakua nimechokoza asali kwenye nyuki. Mateso ya muwasho sio poa na sidhani kama tatizo ni maji au sabuni
 
Back
Top Bottom