Hili ni swali linalowashinda wana ccm wengi.


PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
2,821
Likes
12
Points
135
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
2,821 12 135
Naomba kuwauliza wana ccm, mnawachukia wachaga kwasababu wako chadema au mnawachukia na walioke ccm? Ni lazima tuwekane sawa katika hili.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Naomba kuwauliza wana ccm, mnawachukia wachaga kwasababu wako chadema au mnawachukia na walioke ccm? Ni lazima tuwekane sawa katika hili.
Kuna mengi hawajui kuhusu wachaga..kuwa wachana wapo kila mahali hadi ndani kwao.Hawajui pia kuwa kuna wachaga waislama, masikini, walokole,majambazi, madaktari, waokoaji, wawekezaji,waelimishaji, na wadau wa maendeleo nchi nzima.

Mbaya zaidi hawajui ktk CCM kuna wachaga wengi sana na ndio roho ya CCM sehemu kubwa,wapo vyma vingine pia.CCM walidhani wachaga ndio wanaotishia uhai wao kupitia CDM kwa vile walishawatangza kuwa maadui n akuwadhibiti ktk CCM.Na mkoa wao.
 

Forum statistics

Threads 1,273,205
Members 490,323
Posts 30,473,954