hili ni pepo au jini? ushauri jamani

bid2015

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
306
59
hili ni tatizo? jamani kila nikipata nafasi nakuwa na mwanamke na wala sitosheki.....! kwa siku nakuwa na wanawake wawili au watatu. hili ni tatizo gani?
 
Pole. itakuwa ni spiritual husband/ wife. nenda kwenye deliverance fasta au anza kufunga na kujiombea mwenyewe. ukiwa na ndoa au mahusiano hutakuwa na furaha kamwe katika hali hiyo
 
Huko ni kujiendekeza tuu bana.
badili mind yako, finaly 'tatizo' litakwisaha.
 
hili ni tatizo? jamani kila nikipata nafasi nakuwa na mwanamke na wala sitosheki.....! kwa siku nakuwa na wanawake wawili au watatu. hili ni tatizo gani?

Unautumiaje muda wako,una majukumu gani yanayoku keep busy!?
 
Dah! Jitaidi kuwa na mwanamke mmoja tu,ambaye umempenda na anayekupenda siku hizi kuna magonjwa mengi especially HIV acha kurukaruka kijana utaingia vumbini mapema.
 
Tamaa zako 2 za kimwili wala hakuna cha pepo kujiendekeza, kingine hao wanawake wako malaya ndo maana unawapata kilaini, we jichekelee wakutie maradhi!
 
Subiri siku ukiwa na madeni na benki itangaze mnada wa mali zako, hapo ndin utafahamu huo urijali wako!
 
hili ni tatizo? jamani kila nikipata nafasi nakuwa na mwanamke na wala sitosheki.....! kwa siku nakuwa na wanawake wawili au watatu. hili ni tatizo gani?

Pepo hilo na ni dalili ya kufa mapenmaaaaa uende kuzimu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom