Hili ni kwa watalamu wa mambo ya umeme wa TANESCO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili ni kwa watalamu wa mambo ya umeme wa TANESCO.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mwongozo wa Spika., Apr 17, 2012.

 1. Mwongozo wa Spika.

  Mwongozo wa Spika. Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu ninatumia mita ya umeme ya digital, lakini katika siku za karibuni imekuwa na tatizo.
  Imekuwa inahesabu ikifika mahali inarudi kwenye 000.00 units then inaanza 001.00 na kuendelea.
  Imekuwa ikifanya hivyo mara kwa mara.

  Swali, je tatizo lipo kwenye mita au ni kwenye mfumo wa umeme ktk nyumba?
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  subiri siku ya kulipa bili ikifika uone kiasi kitakachokuja, kama itakuwa inaendana na siku zote ujue hamna shida ila ikija tofauti ujue kuna issue!
   
Loading...