HILI NI DUKA AU GENGE? MAISHA BORA KWA KILA MDA-NGANYIKA KAZI KWELI IPO HAPo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
1452050_437203399712623_1350068899_n.jpg
 
MzizizMkavu, hapo ndipo mtu amewezeshaw akaweza, Ari mpy na Nguvu Mpya, na matokeo yake sasa haya ndio maisha bora kwa kila mdanganyika
 
Last edited by a moderator:
Nawasifu na kuwaheshimu kwa dhati wale wote wanaofanya jitihada kuboresha maisha yao wenyewe - huyo mama kwenya picha ( nadhani ndie mwenye kibanda ) ni shujaa wangu - Tanzania inataka watu kama hawa
 
Back
Top Bottom