Hili neno "literal" maana yake nini?

Huna haja ya kujua neno hilo kwa kiswahili, lakini ili kujua kwa maana yake, twende pamoja na ndugu wa neno LITERARY ambaye ni FIGURATIVE.

Kuna maneno ambayo huzungumzwa kwa Idioms ambazo zinaweza kuwa na shida kwa kiswahili kuna sentensi kama 'Amempaka mafuta kwa mgongo wa chupa' hii ni figurative kwa kinachozungumzwa bali kinakupa picha nyingine

Lakini mtu akikuambia Literary jamaa amepakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, maana yake unaondoa ile Idiomatic meaning ambayo iko attached na kujua kuwa ni kweli jamaa kapakwa mafuta

Hivyo kama neno Literary linakupa tabu kulielewa zaidi nenda pamojana ndugu yake Figurative
Umetisha sana mkuu,sina shaka na mchepuo wako wa HGL.
 
Katika mazungumzo ya kawaida mtu anaweza kutumia mitindo ya lugha miwili ambayo ni moja kwa moja yani Halisi ama tamathali za semi akiwa ana dhumuni moja la mazungumzo au context moja, wenzetu huwa wana haya maneno; Literally and Metaphorically kwenye hili la hapa ni Halisi na Sitiari ndio itakuwa sehemu ya maelezo yangu.
Mtu akisema
"usipo tatua tatizo sasa litakuwa kubwa baadaye"
Anakuwa amzengumza literally, lakini anaposema "usipo ziba ufa utajenga ukuta"
Anakuwa amezungumza Metaphorically

Pia literally inaweza kumaanisha "kiuelewa wa kawaida" ama kiuhalisi, kwenye mazungumzo mtu anaposema Literally anamaanisha "kwa maana ya moja kwa moja", "kiuelewa" au "kiuhalisia"
Mfa mtu anaposema "Literally, lack of enough rains means hunger"
Ni kwamba hakutaka kuelezea mchakato unaotokea katikati ya Sababu na Tokeo, Mfano angeweza kusema
"Kuto nyesha kwa mvua, kutasababisha ukame na kwa kuwa tunategemea kilimo cha msimu basi wakulima hawatalima na tutakosa chakula kwenye masoko na mwisho wake ni baa la njaa"

Sasa kukata wingi wa maneno mtu anatumia Literally, akimaanisha "kiuhalisia", kiuelwa ama moja kwa moja, hapa hili neno limetumika kiuchambuzi yaani unachakata taarifa nyingi kisha unatoa tafasiri halisi.

Kuna watu huwa wanatumia hili neno kujifanya tu wasomi au kuiga ma role model wao wanavyoongea, utasikia mtu mkaka anasema

"literally, simu yangu imeisha chaji" Sasa sijui simu inapofika asimilia 10% ya battery huwa inaonesha nini zaidi ya "battery low"?
Na wengine hutumia kuficha haya zao ama ukari wa maneno
Mfano mdada anaposema "Literally, siwezi kuja" Anaweza kuwa anamaana hana nauri na utume na ya kutolea Mind you ukitaka kutoka kwenye hiyo situation Mwambia achukue kwa mtu utamrudishia akifika lasivyo utapigwa
Sorry ladies I'm just giving the tactical mastery and solutions of your commonly frauds to my apprentices.
By the way "Literally" inamaanisha kiuhalisia.
 
Wataalamu naombeni msaada maana naona kama google wananichanganya, pia naomba ufafanuzi wa origin (etymology) ya maneno haya uzamivu na uzamili yalitokea wapi.
Screenshot_20211217-025050.png
 
Ok poa Naomba mnipe maana halisi ya "civil society" na "civil servant" maana nimeenda Google lakin sielewi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom